7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Hata usishangae hilo kaka.Kama walikuwa na uhaba wa condom wakawa wanaazimana zilizokwisha tumika huku wengine wakifua na kuzianika itakuwa masks ?? Hiyo kwao ni fursa na upana wa elimu yao. Hawa jamaa wamesoma sana hadi wanaona fursa kwenye kubadilisha matumizi ya condom na used masksWakati wa Corana kuna taarifa zilisambaa walikua wanafua Mask zilizotupwa sijui kama ni kweli![]()





