Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli nchi inapitia kiangazi kikali kama nilivyokuambia zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu, mngepewa hii nchi nyie mngeisha wote kwa mlivyo wazembe, hata hivyo huyu DP sijui kaokotwa wapi, silipendi.....sijawahi kuskliza sera zake, hapa tulipigwa.
Anyway aluta continua, tunaendelea kuboresha nchi licha ya changamoto zote hizi na tutaongoza miaka 100 ukanda huu....
Egypt na Kenya wapi ni Jangwa zaidi? Saud Arabia na Kenya wapi ni jangwa zaidi. Nyie ni maskini wa akili ndiyo maana Mungu kawalaani.
 
This road terminates to my shagz, nowadays i slide all the way.Im curious to see what happens hapo karatina
I also use the road often on my way to shagz, I think the highway should bypass karatina town. It should start from Kerugoya junction towards mathaithi on its way to Nyeri. Building a dual carriageway in the middle of Karatina town will be hectic and expensive
 
Ni kweli nchi inapitia kiangazi kikali kama nilivyokuambia zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu, mngepewa hii nchi nyie mngeisha wote kwa mlivyo wazembe, hata hivyo huyu DP sijui kaokotwa wapi, silipendi.....sijawahi kuskliza sera zake, hapa tulipigwa.
Anyway aluta continua, tunaendelea kuboresha nchi licha ya changamoto zote hizi na tutaongoza miaka 100 ukanda huu....
Nchi yenu kame na mnaongoza kwa kulima Chai duniani?izo arable land mnazitumiaje?labda utoe excuse ingine

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Egypt na Kenya wapi ni Jangwa zaidi? Saud Arabia na Kenya wapi ni jangwa zaidi. Nyie ni maskini wa akili ndiyo maana Mungu kawalaani.
20220719_171733.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni kusafi. Sio mimi nimesema bali ni mwenzenu kasema.

Kuna kipindi nilikua Nchi flani, nikakutana na wakenya, Mmoja wao akaanza kuhadithia wenzake, Tanzania Mkenya akienda anapewa mke na Shamba. enzi hizi napita pita sana SSC. Nikajua wamejazwa ujinga flani kwamba Tz ni shamba la bibi na wakunya wana bahati kuzaliwa kenya ( Kundustan) . Nchi ambayo hata taka hawawezi zoa wakaweka eneo lake
 
Nchi yenu kame na mnaongoza kwa kulima Chai duniani?izo arable land mnazitumiaje?labda utoe excuse ingine

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Imebidi tutumie akili kwa kutumia ardhi kidogo iliyopo kulima mazao yenye hela nyingi, ili tutumie hiyo hela kununua mahindi kwenu na kufanya mengine mengi, ndio maana nikasema unaweza ukawa na ardhi ekari moja ukamzidi kipato mwenye ekari mia.
 
Back
Top Bottom