Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwenu hamna nyaya za stima. Ni vumbi tu kwa high end neighborhoods. Kule kwa hohehahe ukitoa main road hawajui lami ni nini.

20221124_135741-jpg.2439637
Usichojua wewe ni kuwa Dar City ina implement underground electric systems mwaka wa 7 huu hivyo nguzo zinazidi kupungua siku hadi siku.
 
Nchi nyingi tuu duniani mtu hamiliki ardhi bila masharti. Serikali nyingi zinauwezo wakukunyang'a ardhi muda wowote, usipokamilisha matakwa fuani. Mfano usipolipa kodi ya ardhi, mali inapigwa mnada.
Hii sheria yetu ya ardhi imekuwa hivi toka 1920, Nyerere aliirithi tuu. Na ndiyo sababu kubwa ya sisi kutokuwa na slums kama Kenya na Afrika kusini.

Ile ishu ya kukamatwa ndege ilikuwa ni mpango madhubuti wa kumtibua Magu. Deni hilo lilikuwepo miaka mingi, mbona hawakuizuia rada iliyonunuliwa na serikali ya Mkapa?

Wakiibadilisha hii sheria, wakina Manji watanunua fukwe zote, halafu watakao mudu gharama watakuwa wageni na watanzania wachache. Na kwa akili zetu ndogo, hata mlima Kilimanjaro utakuja kukodishwa kwa muwekezaji siku moja.

Watanzania wana ulimbukeni flani wa kupapatikia vitu wasivyovijua kwa kina. Waafrica kwa ujumla.
 
Ndiyo maana nikasema, ni jinsi tuu sheria ilivyoandikwa katika nchi husika. Tanzania sheria imesema wazi kuwa serikali chini ya Rais ndiyo mmiliki wa ardhi. Katika nchi nyingi sheria haijatamka wazi kuwa ndiye mmiliki ila serikali zao zina njia nyingi ya kuichukua hiyo ardhi wakati wowote itakapotaka.

Hata Tanzania serikali haiwaondoi watu kwenye ardhi yao hovyo hovyo, ni pale tuu kunapokuwa na sababu ya muhimu kwa manufaa ya umma, mfano ujenzi wa reli, bomba la mafuta, sababu za kiusalama (ardhi kutitia) n.k. Serikali ikiomba watu kuondoka, wanatakiwa kupata fidia.
Sheria zetu zimewekwa kuwezesha wananchi kutuliki ardhi na kupewa hati miliki. Nyinyi sheria zenu zimewekwa kuwezesha wananchi kulease ardhi kwa kipindi cha muda fulani. Hapo ndio hub tofauti kati yetu nanyi. Sasa msisemange kwamba wakenya hawamiliki ardhi coz it's not true.

Hayo mambo mengine yote umeguzia (fidia nk) ziko sawa tu na huku kwetu pia
 
Golf course ya Lugalo unaijua wewe au unawashwa tuu. The best golf course in EA.
So those are two golf courses in the whole of Dar. Ama kuna nyingine?

And where was it ranked as the best golf course in EA? 😂😂 TBH nimesikia hiyo Jina for the first time here
 
KDF is gaining M23 is losing, kile UN walishindwa kufanya in 50 years KDF wanafanya na miezi tu.

Hivi wewe umeelewa alichosema au? Basi nadhani utakiwa mkenya wa kwanza kufurahia na kukubali kwamba Kenya hamtakiwi Congo! Mmeenda kujiaibisha tu!
 
Hivi wewe umeelewa alichosema au? Basi nadhani utakiwa mkenya wa kwanza kufurahia na kukubali kwamba Kenya hamtakiwi Congo! Mmeenda kujiaibisha tu!
Hao M23 sympathizers ndio tunafurahia wakitoa frustrations zao in public, inamaanisha KDF wako kazi vile inafaa, ama hio caption ya kingereza ilikua imekupiga chenga.
 
Back
Top Bottom