Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,101
- 17,820
Desperation. Ukiona mtu anakana picha ya nchi yake, ujue ni pabaya😂😂Wakipigwa bao wanasema ni picha za kitambo yet huyo huyo mpuzi hushinda akirudia picha za Kibera na Mathare za 90s humu hadi anaongeza za Nigeria na India anasema ni Nairobi. 🤣 🤣
Unakumbuka mwarabu mwitu Ichoboy akikana hii picha pia na kusema hapa si Dar