ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Just imagine hii ni barabara hapo CBD inaitwa Haile Selassie Avenue 🤣🤣🤣Sahv Dar tunajitahidi usafi sana maeneo ya mjini...sio rahisi kukuta takataka kama hizo
Just imagine hii ni barabara hapo CBD inaitwa Haile Selassie Avenue 🤣🤣🤣Sahv Dar tunajitahidi usafi sana maeneo ya mjini...sio rahisi kukuta takataka kama hizo
Aisee, mambo ya zamani sn haya mkuu, nikiwa mdogo sn Dar ilikuwa hivi.Just imagine hii ni barabara hapo CBD inaitwa Haile Selassie Avenue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2480068
Anajichanganya apo,unataka uchumi ukue alafu hauna umeme?au alitaka tutengeneze umeme wa aina gani...Jpm hata ukimchukia kuna mambo alisimamia na kuyaweka vizuri sana especially suala la umeme na reliHuyo jamaa miradi ya SGR na bwawa la umeme sio kama hajui impact yake baadaye, no sema kwasababu aliyefanya ni Magufuli so anajaribu kumpaka tope mwishoe anajichafua mwenyewe. Hivi mtu na akili zako unaweza kupinga mradi wa umeme?
Ndio CBD yao hio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sisi nye nye nyeee View attachment 2480033View attachment 2480034View attachment 2480035View attachment 2480041View attachment 2480045View attachment 2480048View attachment 2480049
Midomo yao sasa.. utasikiaJust imagine hii ni barabara hapo CBD inaitwa Haile Selassie Avenue 🤣🤣🤣
View attachment 2480068
Sanaaa.Anajichanganya apo,unataka uchumi ukue alafu hauna umeme?au alitaka tutengeneze umeme wa aina gani...Jpm hata ukimchukia kuna mambo alisimamia na kuyaweka vizuri sana especially suala la umeme na reli
Hapo kumejaa maganda ya mahindi na miwa.. ndo chakula chao hiko🤣🤣Just imagine hii ni barabara hapo CBD inaitwa Haile Selassie Avenue 🤣🤣🤣
View attachment 2480068
Yani hovyo sn Wakenya, utakuta wanapiga picha vi estate uchwara wanawaingiza mkenge watu, hata baadhi ya watz huwa wanaingia mkenge but in reality Kenya iko hovyo sn hata wao wanajua hilo wako hovyo kweli kweli, yn ni binadamu wa kale sana.Midomo yao sasa.. utasikia
'The best country in Africa' [emoji23][emoji23][emoji706]
Ndiyo maana nmeshangaa sn, sina hata hamu ya ku battle nao hawa jamaa, wa hovyo sn hawa.Kitu leo leo hiki [emoji23]
Hapo kumejaa maganda ya mahindi na miwa.. ndo chakula chao hiko[emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa inabidi tuwe wakali sasa kuwa wakiendelea namna hii tutawatimua kwenye EAC, hatuwezi kuwa na partner state wachafu namna hii, wanatia aibu Jumuiya, kah!!!Aahhh Wakenya twende mbele turudi nyuma, hii sio sawa bhn, mstaarabike ata kdg basi jamani tuko 2023 hii ni aibu kwa Afrika wazee.View attachment 2480064View attachment 2480065View attachment 2480066View attachment 2480067
Ndiyo maana nmeshangaa sn, sina hata hamu ya ku battle nao hawa jamaa, wa hovyo sn hawa.
Mkuu inakera sana ku battle na wapumbavu design hii, yn wanatuweka humu tunabishana alafu hakuna mabadiliko yoyote, manaake nn sasa.Hawa jamaa inabidi tuwe wakali sasa kuwa wakiendelea namna hii tutawatimua kwenye EAC, hatuwezi kuwa na partner state wachafu namna hii, wanatia aibu Jumuiya, kah!!!
Yani hawa wapuuzi hii thread inasaidia Tz pekee mana tangu kuanzishwa kwake mabadiliko makubwa yametokea Tz kuanzia viongozi mpk raia, watu wanazidi kustaarabika, imebaki kitu kimoja tu UJENZI HOLELA ambayo nayo tunakwenda kuikomesha, lkn kwa upande wa hawa jamaa hii thread haijawasaidia chochote.Lakini wanachoandika na wanachosema utadhani wanatokea dunia ya Kwanza.
Hili battle tunalo tu kuenjoy.
Hawa Jamaa walitakiwa wawe pamoja na South Korea, Singapore and the likes, Lakini wapo hapa tunatembelea kichwa wote[emoji23]
Kama mimi nisinge jiaibisha hivi.
Mahindi na miwa Kutoka Tanzania!Hapo kumejaa maganda ya mahindi na miwa.. ndo chakula chao hiko🤣🤣
Sana kaka, yaani kuna mitaa ukipita Nairobi (tena CBD) usipotapika basi wewe unaweza kupigia msosi kwenye choo cha stand comfortable kabisa, na sisemi hivi sababu ya battle, nasema hivi sababu hawa ni ndugu zetu na tunategemea wajifunze ustaarabu kidogo lakini wapi?Mkuu inakera sana ku battle na wapumbavu design hii, yn wanatuweka humu tunabishana alafu hakuna mabadiliko yoyote, manaake nn sasa.
These people are really dirty.Hawatawaonesha picha hzi ndio nairobi yao [emoji1787][emoji1787] nye nye nyeee
View attachment 2479555View attachment 2479557View attachment 2479558View attachment 2479559View attachment 2479560View attachment 2479562
Tanzania katika hili tunalala, tulitakiwa (behind the scene) 'tumtumie' Yarp Merkez kuwashauri Uganda wajenge ya kupitia Lake Victoria
Au labda Yarp Merkez atatumia hio fursa kujenga hadi Malaba sijui, ili wafanye mchakato wapate fursa ya kujenga upande wa Kenya (either electrified or non electrified)