NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,180
But still have greenery. Here we love greenery.Plots zimebana sana
But still have greenery. Here we love greenery.Plots zimebana sana
Siridhidhwi na uwekezaji mdogo wa pesa kwenye barabara.Hii Nchi ni kubwa na Kila sehemu Kuna uhitaji mkubwa sana wa barabara lakini Kasi ni ndogo.Chunya to Mbeya 70Km entirely paved...
Hii ndio miradi mi binafsi inanibamba,we need to pave more roads in upcountry to boost economy and improve people lives, Easy kwenda mjini,easy kusafirisha mazao yako na unatunza wakatiView attachment 2477879View attachment 2477880View attachment 2477881View attachment 2477882
Hizi roads zao hakiyamama hata Kyela hakuna roads kama hizi.Gari za 2 yrs ago [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2477712View attachment 2477714View attachment 2477715View attachment 2477717View attachment 2477718View attachment 2477720View attachment 2477724View attachment 2477725
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nifanye niondoke zangu tu
Sasa mtalii unachokaje bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nifanye niondoke zangu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanaweka vitu ili kufurahisha macho lkn sio kwa mahitaji, hawa watu hawahitaji chochote kwa sasa huko kwao zaidi ya elimu. Wakenya wanahitaji elimu na unga kwanza kabla ya chochote.Hivi sehem kama hio hakuna blocks katikat nan anapanda hilo daraja kuvuka barabara? Huku kwetu hilo daraja ni white elephant [emoji28].. pale mbez kwenyew katikat kuna fense na bado watu hawataki kupanda juu
Mara cholera mara hio super gono hata sijawah isikia super gono sisi tushazoea gono🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mtalii unachokaje bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa reviews alizokuwa akizipata humu kuhusu hiyo sehemu akaifanya kuwa mojawapo ya destination yake kiutalii kumbe kaingia cha kike kajikuta kwenye mji wa vibwengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mtalii unachokaje bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uamuzi wa busara huo. Quality, modernity and value for money matters.Tanzania katika hili tunalala, tulitakiwa (behind the scene) 'tumtumie' Yarp Merkez kuwashauri Uganda wajenge ya kupitia Lake Victoria
Au labda Yarp Merkez atatumia hio fursa kujenga hadi Malaba sijui, ili wafanye mchakato wapate fursa ya kujenga ya Kenya (either electrified or non electrified)