SGR ya kwanza Uganda inajengwa Kampala mpaka Tororo hizo ni za ndani motomoto kabisa.Ila kaka kama ume-notice, source ni NMG outlets! Usiwaamini sana kuhusu section ipi inajengwa kwanza! Hawa jamaa huwa wana tendency ya ku-fantasize the reality, refer EACOP saga! Mimi nangoja Uganda Govt i-gazette hii tender au at least New Vision waandike! So far anything can happen!
.. wengine wanafuata


