Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa mnasema Tz hakuna slums, sasa hiyo 41% imetokea wapi?
Umeona neno slum karibu na neno Tanzania? Ila neno slum liko karibu na neno Kenya kwenye hiyo ripoti. 41% ni wale wanaoishi kwenye mazingira duni not necessarily slums as in Kenyan case.
 
Uganda SGR hajengi kwenda Malaba bali anajenga kutoka south kwenda north kuelekea south sudan. Malaba anakarabati ile reli ya MGR
Soma habari kwanza. otherwise ueleze huko kuelekea south sudan, uganda anafaidika na nn
 
Binafsi mamiradi makubwa kama haya ya Sgr na bwawa siyataki kabisa maana yanaua uchumi..

Unawekeza pakubwa ila Tija yake ni ndogo,miradi ya hivyo haifai kabisaa..

By the way miradi ni Mingi sana tena ya size ya Kati kuanzia viwanda Hadi majengo..

Mfano kwenye sekta ya Kilimo Kuna uwekezaji mkubwa unaendelea Kwa Ajili ya Kilimo mfano

So investments kwenye sekta kama Kilimo ni muhimu sana Ili kuondoa mabilioni ya pesa tunazotumia kuagiz vyakula ambavyo tunaweza kuzalisha ndani,soma hapa
Watu wa nyanda za juu kusini huwa na akili na uwezo mkubwa kifikra pamoja na kufikiri Sasa sijui mwezetu vipi au unatumia makalio kufikiri?
 
Soma habari kwanza. otherwise ueleze huko kuelekea south sudan, uganda anafaidika na nn
Uganda wamesema explicitly kwamba wanajenga SGR kuelea inland. LATER ON (mind the word "later on" ) they will connect with Malaba. Kama hujasoma Cuba huwezi elewa huu mchezo hapo ni siasa nyingi.

Ila wamesema watakarabati MGR to Malaba ngoja nitafute hiyo post nikuketee hapa.
 
Washatia nazi supu kwa reli ya Kaskazini. Tushindwe sisi tu.
 
Ila kaka kama ume-notice, source ni NMG outlets! Usiwaamini sana kuhusu section ipi inajengwa kwanza! Hawa jamaa huwa wana tendency ya ku-fantasize the reality, refer EACOP saga! Mimi nangoja Uganda Govt i-gazette hii tender au at least New Vision waandike! So far anything can happen!
 
Tunajenga mpaka South Sudan. Mpaka Africa ya kati
Aluta Continua, ifikie kipindi na sisi ukiacha mizigo, mtu unataka kuzama Juba, Kigali, Kampala au Gitega one time unakwea gogo la kasi kama Ulaya, alafu you know what, all the lines lead to Dar The Capital of The Capitals, hii Station ya hapa Sokoine Drive naiona ndogo ati.
 
Uganda wamesema explicitly kwamba wanajenga SGR kuelea inland. LATER ON (mind the word "later on" ) they will connect with Malaba. Kama hujasoma Cuba huwezi elewa huu mchezo hapo ni siasa nyingi.

Ila wamesema watakarabati MGR to Malaba ngoja nitafute hiyo post nikuketee hapa.

Aluta Continua, ifikie kipindi na sisi ukiacha mizigo, mtu unataka kuzama Juba, Kigali, Kampala au Gitega one time unakwea gogo la kasi kama Ulaya, alafu you know what, all the lines lead to Dar The Capital of The Capitals, hii Station ya hapa Sokoine Drive naiona ndogo ati.
1673678769433.png
 
Washatia nazi supu kwa reli ya Kaskazini. Tushindwe sisi tu.
Uwezo wa kumalizia sgr from porini to malaba hawana mikopo imewakalia shingoni imebaki kurudisha chenji tuu mchina nae kapata cold feet baada ya kusoma mwelekeo kuwa kaweka hela kwenye big white elephant.
 
Back
Top Bottom