Bongolala msiwe watu ambao hawakosolewi. Power rationing na power outage ni vitu viwili tofauti na zote zinasababishwa na vitu tofauti.
Power rationing inatokana na nchi kutokuwa na umeme wa kutosha kutimiza mahitaji ya watumizi on a daily basis. Matokeo yake ni umeme kupewa kwa mgao. Power outage nayo ni ukosefu wa stima in certain areas for a certain period of time say an hour, two hours, half a day, a whole day or two days na husababishwa mostly na technical issues au mitambo za kusambaza umeme kuwa na shida fulani. This can be caused by natural calamities kama Upeo kukana nyaya za kusambaza stima and such kind of things. Usijifanye muelewa na hakuna kitu unaelewa