[mention]ichoboy01 [/mention] aongezewe ulinzi, jioni ya leo amewachanganya kabisa wakundustan, na wanakuja katika wingi wao wakijaribu kujitetea, kisha wanaishia kutapatapa na kushindwa washike wapi ,
[mention]ichoboy01 [/mention] tafadhali fika pia naipori tuone zile gari za 5 years old na brt only paints [emoji3][emoji3][emoji3]
Somo: tujifunze kuishi maisha yetu katika uhalisia.
Hakika, wakundustan ni time travelers [emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya wachina kuwaletea garimoshy za karne ya 18 kutoka kwenye makumbusho ya kale huko mashariki ya mbali kwenye ardhi ya Gengis Khan, huko Mongolia, Wamesafiri back in to time (time travelers ) wakaleta kwenye uhalisia gari za miaka ya 1980 na kuzipa umri wa miaka mitano [emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 2476734
View attachment 2476735