Mwingine amekuja kupiga picha za magari Kenya na kusema tulivyomasikini anasahau uhalisia wa hali ilivyo kwenye jiji lao kuu







Kenya gari zao nyingi zimechoka sn aiseee.
SGR yetu pia ni kivutio cha utalii.
Star yeyote wa bongo ni lazima awe star EA lkn ma star wenu sisi hatuwajui










Hadi piere liquid alipata umaarufu kunyaland. Mamaaa nakufaaaaStar yeyote wa bongo ni lazima awe star EA lkn ma star wenu sisi hatuwajui![]()
Kwa wivu mlionao mtajifanya hamwajui ila wanajulikana sio EA tu bali dunia nzima. Sisi tunacheza ligi ya dunia nzima.Star yeyote wa bongo ni lazima awe star EA lkn ma star wenu sisi hatuwajui![]()
Wakina ambaruti na gigi ni idols wakubwa sana huko kenya 😂😂😂😂 mimi kuna vichaa wa bongo nimewajulia kutokea Kenya 😂Star yeyote wa bongo ni lazima awe star EA lkn ma star wenu sisi hatuwajui![]()
Na mangeu ya kutosha 😅😅😅Kwani huko sabuni za kuoshea vyombo hakuna!? Mbona masizi hivyo???
Huyo hawezi. Kelele tu na kujifarijiSI atupie video za hyo migori town kama ni mwanaume tosha. Rather than selective cherry picking here there.
😂😂😂😂😂Viraka tayari dadeq 😅😅😅
Mchina wa sgr ndio huyu huyu wa bypass, hii bypass itakuja siku ibomoke yote
View attachment 2477595View attachment 2477596
Mbingu na ardhi. Lakini ile kelele inapigwa hapa!! Aliyesema empty debes make most noise wala hakukosea'Eastlands' ya Dar vs ya Nairobi..,
View attachment 2477469
View attachment 2477466
Nairobi
View attachment 2477467
View attachment 2477468
kweli kabisa. Ila utasikia eti wao hawaishi kwenye nyumba zinazofanana kama hostels wakati anayeongea jiji lao liko hiviLest they forget, yaani kuwakumbusha msije mkasahau huku hamjafika na hamtafika karne hii.., 'Eastlands' ya Dar ni uswazi.., hapa ingekua Tanzania ingekua kwa matajiri.., 🔥 🔥 🔥 😂 😂 😂
View attachment 2477449
View attachment 2477452
View attachment 2477453
View attachment 2477454