President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Tukubaliane kwanza Access roads za Nairobi hukuziweka.Nimekuambia ufiatilie thread bongolala. Hizi ni nini? You even quoted this post and here you are asking a stupid question.
Tukubaliane kwanza Access roads za Nairobi hukuziweka.Nimekuambia ufiatilie thread bongolala. Hizi ni nini? You even quoted this post and here you are asking a stupid question.
My friend these are beautiful women, Kenyan or not... Clear your brainwash..The most beautiful women from Kunyaland 🤣🤣🤣 where they say black is beautiful 👇View attachment 2473937View attachment 2473938
A - a wapi TPA?
Ni kweli kuwa Tanzanía mmejaribu sana kuweka terminals za mabasi.. heko!Magufuli bus terminal, ni ngumu kutofautisha render na uhalisia.View attachment 2474049View attachment 2474051View attachment 2474055View attachment 2474056View attachment 2474057View attachment 2474058View attachment 2474060View attachment 2474061
Nimeelewa, ilawatanzania wote wanaishi maisha ya kifahari hivyo?Acha hasira huyo ni kijana mdogo sana lakini ana magari ya kifakhari na ni jambo la kawaida kwa vijana tu🤣🤣🤣acha hasira budaa
Kenyas population is not anywhere near 55 million people. The 2019 KNBS census put the figure at 47 million peopleMbali na gap pia tuangalie nani anatumia vizur kidogo anachopata..Probably Tanzania tunatumia vizuri zaidiView attachment 2475224
Wewe hata hueleweki. Mara access road, mara Kilifi mara sijui what island mara ooh mara eehTukubaliane kwanza Access roads za Nairobi hukuziweka.
Tanzania, Uganda and Rwanda 9.5+5.9+1.7= $17.1bMbali na gap pia tuangalie nani anatumia vizur kidogo anachopata..Probably Tanzania tunatumia vizuri zaidiView attachment 2475224
Tullikuwa tunajadiliana tangu jana kuhusu Access Roads. Je, hujui?Wewe hata hueleweki. Mara access road, mara Kilifi mara sijui what island mara ooh mara eeh
Msenge wewe huoni aibu.Kenyas population is not anywhere near 55 million people. The 2019 KNBS census put the figure at 47 million people
Hesabu nashuku kama hata ulipata DTanzania, Uganda and Rwanda 9.5+5.9+1.7= $17.1b
Kenya alone $16.4b
Kenyas budget is equal to the budget of the rest of EAC combined
Mwambie haya maneno zwazwa, atakumezaNi kweli kuwa Tanzanía mmejaribu sana kuweka terminals za mabasi.. heko!










Shida iko wapi kutuwekea hizo picha za access roads hapa si wana google street view ama walikuwa wanatudanganya hapa?Dear Nicxie amini kwamba hii battle ya access roads huiwezi ndugu yangu mm nakwambia, hii nchi yetu imejengwa mzee, yani mitaa mingi iko na lami, mm mwenyewe nmeshaweka picha nyingi humu za uswahilini kwenye lami, ila kama mjeuri sawa twende kazi.
Hii huwa tunaotumia huku TZ police kwenye kitengo cha dog unit kubebea mbwa sio binadamu.Leo nimekutana na defender moja ina body nyuma ndio ambulance yani nimecheka wallahhawa watu wanachekesha iko kama hii
gari za kubebea nyasi kwao ambulance View attachment 2475138
Ona walivo wachafu sasanaombeni munipe ulinzi mwenyekiti wenu View attachment 2475286View attachment 2475288View attachment 2475289View attachment 2475290View attachment 2475291View attachment 2475291View attachment 2475286View attachment 2475281











Bila kusahau huo uchafu barabarani.Gari ya Kubebea Nyasi.
Ila kwa lipicha kama hili ni vigumu sana mtu kukuelewa unaposema Advanced, SUPER, RICH, hii Picha ni definition ya Poverty. Angalia magari, Toroli la maji ( Maji husafirishwa kwa bomba lakini) gari la abiria ambalo ni lorry limelazimishwa kinyume
, Nyumba kubwa haina madirisha, Nguzo moja ina nyama kama spider web, kwa jinsi palivyobanana na hatuoni road marking hatujui binadamu wanapita wapi.
Hiyo budget inawasaidia nini kama bado karne ya 21 mnatembeza bakuli la kuomba chakula.Tanzania, Uganda and Rwanda 9.5+5.9+1.7= $17.1b
Kenya alone $16.4b
Kenyas budget is equal to the budget of the rest of EAC combined
Mtaalamu wa kuchambua, vyote ulivyosema sikuviona ndio narudi kuàngalia tena![]()





