Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,144
Time stamp 5:18 jamaa kakutana na wakorea wanaenda Kilimanjaro honeymoon! TTB waamke kama kweli wanataka mapato ya utalii kufika $5 B basi hela iko Asia. China, Korea,Japan,Taiwan.

Dar is slum jiji la uswazi linganisheni na MombasaSasa unataka Dar es salaam tuiondoe karibu na Bahari?
That why Dar es salaam inazigonga Nairobi na Mombasa kwa pamoja.
Watanzania tukubali tu Ghana imetupita pa kubwa, statistics zote zinaonesha hivyo 😂😂😂😂
Siku ukituonesha BRT tutaanza kulinganisha. Je, Mombasa BRT ipo?Dar is slum jiji la uswazi linganisheni na Mombasa
Eti naskia mnasema hizi barabara zina street lights. A mart man lies to other people, a foolish man lies to himself. 🤣 🤣 🤣 'Ukunyani barabara za mitaa hazina pedestrian sidewalks!
Wakunya wataona wivu 😂 😂
kuna Lupita Nyongo hapo! dah.. ukiwakamua hawa unapata lami kama mafuta ya bunduki ama si kiwi shoe polish!The most beautiful women from Kunyaland 🤣🤣🤣 where they say black is beautiful 👇View attachment 2473937View attachment 2473938
Cha ajabu ni kwamba this is exactly how more than a half of Dar looks likeEti naskia mnasema hizi barabara zina street lights. A mart man lies to other people, a foolish man lies to himself. 🤣 🤣 🤣 'View attachment 2473940
Wacha hivo, the better parts look like this - alafu tunaaminishwa eti access roads zina street lighting.Cha ajabu ni kwamba this is exactly how more than a half of Dar looks like
Alafu utasikia mtu akisema hawana slums kwao 😃😃
wewe kinyeo usiwe unabishana kila kitu unatia aibu! nchi zina standards tofauti!Wacha hivo, the better parts look like this - alafu tunaaminishwa eti access roads zina street lighting.
Here are roads with street lighting and sidewalks according to Geza Ulole and co. 🤣 🤣
![]()
Kwa hivo standard zenu ni vumbi kwa Estates? 🤣 🤣 🤣wewe kinyeo usiwe unabishana kila kitu unatia aibu! nchi zina standards tofauti!
If their rich neighborhoods ndio vumbi, kule uswazini kukoje?Wacha hivo, the better parts look like this - alafu tunaaminishwa eti access roads zina street lighting.
Here are roads with street lighting and sidewalks according to Geza Ulole and co. 🤣 🤣
![]()
No slums in Tz hata ulie, Google wenyewe hawatambui uwepo wa slums Tz, usifosi tufanane malizeni ma slums huko kwenu zen mje tuongee.Sasa mbona unakataa they are not slums wakati slum is described so?
With this kind of reasoning, it's no wonder mlijaza jiji lenu na uswazi kila konaUkiipata BRT uniambie. Kama hakuna nyie bado ni shit_hole
Elimu imetusaidia sana Watz.
Kujitekenya na kujiliwaza rukhsaNo slums in Tz hata ulie, Google wenyewe hawatambui uwepo wa slums Tz, usifosi tufanane malizeni ma slums huko kwenu zen mje tuongee.