Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hapo kuna access road hadi kwenye Getho la Msela?
emoji23.png
. Hivi huko Nyumba ni lazima upande mmoja wote usiwe hata na tobo la dirisha?
emoji23.png
Huko pia Rangi bei ghali au ?
The guy is in Migori town but decided to be selective in his postings as he always does ili kufurahisha umati.

How did these places/buildings pass his attention?
images - 2023-01-09T205617.099.jpeg
images - 2023-01-09T210930.992.jpeg
images - 2023-01-09T210807.809.jpeg
images - 2023-01-09T205929.976.jpeg
images - 2023-01-09T205854.325.jpeg
images - 2023-01-09T210720.558.jpeg
FB_IMG_1650190264420.jpg
FB_IMG_1650190366930.jpg
FB_IMG_1650092875460.jpg
FB_IMG_1650060493940.jpg
images - 2023-01-09T212524.241.jpeg
 

Attachments

  • images - 2023-01-09T210255.139.jpeg
    images - 2023-01-09T210255.139.jpeg
    7.5 KB · Views: 8
Nyie mnahitaji elimu. Aliyepost ameandika “Nairobi in Art and Culture.” Huyo dada aliyechorwa ni character wa TV show ya Spain iliyopo Netflix inaitwa Money Heist. Jina lake ni Nairobi na ndiye character pekee mwenye jina la mji wa Afrika kwenye hiyo drama alongside wenzake kama Tokyo, Berlin, Rio, Denver na Helsinki. Idea nzima ni kuwa Nairobi is a global city na ni mji ambao ni influential sio kwenye politics (United Nations) na kiuchumi pekee pia hata kwenye sanaa.
Kwahio wewe na elimu yako unafikiri niliuliza kwasababu sijui? Basi sawa tumepata elimu kutoka kwako.
 
😀 wanahitaji elimu au wew ndo unahitaji elimu? Maneno meeengi😀😄
Jamaa kauliza mji gan huu? Yan picha ipo mji gan?

Kwanza. Kwann uassume hawajui huyo dada anaitwa Nairobi kutoka series maarufu ya Money Heist..

Pili. Comments zako mara nying ni kuonyesha watu hawajui vitu, good thing sometimes hata hawangaiki nazo. stop this...
Jamaa nimemshangaa sana. Yaani nimemshangaa sana. Sanaaaaa.
 
Back
Top Bottom