President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Na bado huko nyuma ya station wameacha space kubwa ya extension baadae
Naona unatoa excuse. Barabara yenyewe hadi sahii bado haijawekwa lami bradhee. Tazama. 🤣 🤣Unatuletea picha ya miaka 8 iliyopita
View attachment 2474000
Huwezi elewa haya mambo bro. Technologically challenged. 🤣🤣Hahahaha je hapo kuna WIFI ya bure?
Giraffe Manor
Niambie kwanza hapo unafanya kazi au umeenda kwenye WIFINaona unatoa excuse. Barabara yenyewe hadi sahii bado haijawekwa lami bradhee. Tazama. 🤣 🤣
View attachment 2474006
Anatumia wifi ya dezoKwanza hiyo ni view ya 2015. Pili
Hapo hotelini unafanya nini sasa hivi?View attachment 2473997



Usiniogope basi tujadiliane mengine.Huwezi elewa haya mambo bro. Technologically challenged. 🤣🤣








Technology ni pana sana.Anatumia wifi ya dezo![]()
Daahh aisee, usafi tu ni noma wakuu. Kitu clean adi rahaa.
Unapingana na Google? Ndio maana huwa nasema wengi wenu humu ni punguani. Mnapenda selected images Google inawaumbua. Kwanza ngoja mwekewa streetview. 🤣 🤣Acha ujinga wewe Dar hakuna udongo mwekundu. Hii picha ni ya Nairobi.
Usiniogope mzee.Unapingana na Google? Ndio maana huwa nasema wengi wenu humu ni punguani. Mnapenda selected images Google inawaumbua. Kwanza ngoja mwekewa streetview. 🤣 🤣
Kuwa na bus terminals haimanishi kwamba uko na a good transport system. Bus terminal is just a waiting bay.Miji yote bora duniani ina transport systems zinazoeleweka na ambazo ziko orderly.