Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tullikuwa tunajadiliana tangu jana kuhusu Access Roads. Je, hujui?
Uliitisha access roads za Kilifi na nikapost kadhaa. Baadae ukaruka na kusema kwamba Mafia Island inaizidi Kilifi kwa access roads. Kisha nikakuuliza upost hizo access roads za Mafia Island and you ended up posting this picture below 👇

thanda-island~2.jpg

Swali ni, hiyo picha ya island uliyopost ndio access road hapo Mafia Island?
 
Attachments

  • thanda-island~2.jpg
    thanda-island~2.jpg
    74 KB · Views: 9
Nyingi ya Barabara za Kunyaland naona hazina service roads
Naona ngoma imebadilika sasa. Hebu nikuulize bongolala, kazi ya service road kwenye barabara yenye very low traffic kama access road ni nini haswa? Don't you know service roads huwekwa kwenye main highways with heavy traffic? Hizo picha zote nilizopost nionyeshe barabara yenye heavy traffic.
 
Excuses as usual.
Leteni service roads hapa kwani huko kwenu Miji Ni dormant ?

Sumbawanga 👇
IMG_20230110_075701_753.jpg
IMG_20230110_075705_714.jpg
IMG_20230110_075716_956.jpg
IMG_20230110_075745_565.jpg
IMG_20230110_075729_992.jpg
IMG_20230110_075643_645.jpg
 
Back
Top Bottom