Dar es salaam >>> Nairobi + Mombasa + Kilifi
Gari ya Kubebea Nyasi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Leo nimekutana na defender moja ina body nyuma ndio ambulance yani nimecheka wallah🤣🤣🤣 hawa watu wanachekesha iko kama hii
gari za kubebea nyasi kwao ambulance View attachment 2475138
Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu 😄.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu 😄Gari ya Kubebea Nyasi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Ila kwa lipicha kama hili ni vigumu sana mtu kukuelewa unaposema Advanced, SUPER, RICH 😂, hii Picha ni definition ya Poverty. Angalia magari, Toroli la maji ( Maji husafirishwa kwa bomba lakini) gari la abiria ambalo ni lorry limelazimishwa kinyume🤣, Nyumba kubwa haina madirisha, Nguzo moja ina nyama kama spider web, kwa jinsi palivyobanana na hatuoni road marking hatujui binadamu wanapita wapi.
Leo nimekutana na defender moja ina body nyuma ndio ambulance yani nimecheka wallahhawa watu wanachekesha iko kama hii
gari za kubebea nyasi kwao ambulance View attachment 2475138

Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu
![]()

Kilaza mwenzako aliitisha za Kilifi. Fuatilia thread bongolalaDar es salaam >>> Nairobi + Mombasa + Kilifi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ofisi ya Rais Tamisemi yao 😂😂😂Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu 😄.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu 😄
Kilifi inagongwa na Mafia Island hand down. Unabisha?Kilaza mwenzako aliitisha za Kilifi. Fuatilia thread bongolala
Walker255 sio Mtanzania huyo. Ni Mkenya na ndio style yao ya kujivika uraia wa Tanzania mitandaoni.Huyo tangu apewe punch na Venus Star basi aliikana Tz mpk leo yn huyo jamaa ana hasira za kike kweli kweli, cjui huenda labda ni mwanamke mana asilimia kubwa ya wanawake huwa wanahifadhi sn vitu.
Zamani hakuwa hivyo, alikuwa msifiaji hodari na mpambanaji kweli kweli katika kulitetea taifa lake ila tangu siku hiyo akaanza kubadilika taratibu mpk akafika hapo alipo, jamaa pia huwa hakubali kurekebishwa anadhani anajua kila kitu kisa anaishi nje, sasa mwacheni akosoe sisi ndio tunapenda watu kama hao.
Unafanya comedy?Walker255 sio Mtanzania huyo. Ni Mkenya na ndio style yao ya kujivika uraia wa Tanzania mitandaoni.
Wamo wengi sana humu wajifanya watanzania:-Walker255 sio Mtanzania huyo. Ni Mkenya na ndio style yao ya kujivika uraia wa Tanzania mitandaoni.
Leta picha za barabara za Mafia Island tuone basiKilifi inagongwa na Mafia Island hand down. Unabisha?
Umeleta za kilifi?Leta picha za barabara za Mafia Island tuone basi
Nimekuambia ufiatilie thread bongolala. Hizi ni nini? You even quoted this post and here you are asking a stupid question.Umeleta za kilifi?
Hapa ni Thanda Island Mafia
![]()
Mtaalamu wa kuchambua, vyote ulivyosema sikuviona ndio narudi kuàngalia tenaGari ya Kubebea Nyasi.
Ila kwa lipicha kama hili ni vigumu sana mtu kukuelewa unaposema Advanced, SUPER, RICH, hii Picha ni definition ya Poverty. Angalia magari, Toroli la maji ( Maji husafirishwa kwa bomba lakini) gari la abiria ambalo ni lorry limelazimishwa kinyume
, Nyumba kubwa haina madirisha, Nguzo moja ina nyama kama spider web, kwa jinsi palivyobanana na hatuoni road marking hatujui binadamu wanapita wapi.










Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu
![]()













Inafurahisha kuona unajiongelesha mwenyewe na account zako: NairobiWalker na Walker255.Asante kwa maelezo yako safi maanake mimi huwa sioni haja ya kuwajibu watu wengine humu juu wao hubehave ni kama either hawana elimu ama wanachagua kusumbua tu - kwa lugha ya kimombo wanaita sealioning.