Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale mliokua mnatafuta wallpaper
20230109_132749.jpg
 
Kuna mpumbavu jana alikua anajitutumua kuhusu streets, hivi Wakunya kabisa ni watu wa kuongea kuhusu streets mbele ya Tanzania? 😂😂😂

Hii ni municipal ya Shinyanga wala sio Kahama lakini hutokaa upate Street kama hii Nairobi

View attachment 2474961

Passion na Focus kwa kile kitu unachopenda kufanya..
Nimependa kuona Prado hapo nyuma, natumaini ni yake.. huko twitter huwa naonaga tu anaongelea mambo ya farm.. "malembo farm".. kumbe inalipa na matokeo yake ni mazuri, ni pamoja na hilo Prado👏👏
 
Namfahamu huyo jamaa ni guru kwenye agribusiness, hiyo ni yake kabisa na sio SUV pekee aliyonayo
 
Passion na Focus kwa kile kitu unachopenda kufanya..
Nimependa kuona Prado hapo nyuma, natumaini ni yake.. huko twitter huwa naonaga tu anaongelea mambo ya farm.. "malembo farm".. kumbe inalipa na matokeo yake ni mazuri, ni pamoja na hilo Prado[emoji122][emoji122]
Kilimo kinalipa sana TZ ujue tuu unapanda nini soko liko wapi na ukiondoa uoga utafanikiwa pakubwa tuu.
 
Tz hapa tumepatia sana..japo kasoro ndogondogo zipo ila BRT tumetulia..Wakenya wamejaribu wakalamba mchanga.
Usinikumbushe BRT only [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu waliongopewa watajengewa BRT wakaanza kupiga kelele humu wakajengewa na vibanda eti station za BRT
ghafla ikawa kimya, walidhani BRT ni kama kula miraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hapa unamuongopea nani, unachanganya commuter na SGR, naomba mwenye picha ya ile charcoal machine aiweke tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sgr iko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom