The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nchi fulani hivi inayoibeba East and Central Africa kwa infrastructures za kisasa zaidi.
Mwaga mapicha!Nauliza tena nipasuke au niache 😆😆😆
Na hata wakipata bado ni madogo tu! Wamejifunza kwetu.Ukiipata BRT uniambie. Kama hakuna nyie bado ni shit_hole
They are beautiful. Ukoloni pia ni kutawaliwa kiakili ikiwemo kuamini kuwa ngozi nyeupe Hata kama si ya mzungu Ndio definition ya urembo. Watu wenye ngozi nyeusi pia ni wazuri. Acha ujinga!The most beautiful women from Kunyaland 🤣🤣🤣 where they say black is beautiful 👇View attachment 2473937View attachment 2473938
Still better than anything Kundustan has!Korogwe bus stand, Tanga.View attachment 2474101
Tayar nipo migori ntakuepo na kesho piaUtafika mida ya saa ngapi kesho?
Eti wanashindana na watanzania kuhusu magari 😆😆😆
Acha hasira huyo ni kijana mdogo sana lakini ana magari ya kifakhari na ni jambo la kawaida kwa vijana tu🤣🤣🤣acha hasira budaaIs this a representation of all Tanzanians?😂
Mji gani huu?Nairobi in Art and Culture
![]()
Naona umetegea kwa kuvuta kinyoa kwenye kende zake unasubiri atikisike tu ukivute kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Mji gani huu?
Nyie mnahitaji elimu. Aliyepost ameandika “Nairobi in Art and Culture.” Huyo dada aliyechorwa ni character wa TV show ya Spain iliyopo Netflix inaitwa Money Heist. Jina lake ni Nairobi na ndiye character pekee mwenye jina la mji wa Afrika kwenye hiyo drama alongside wenzake kama Tokyo, Berlin, Rio, Denver na Helsinki. Idea nzima ni kuwa Nairobi is a global city na ni mji ambao ni influential sio kwenye politics (United Nations) na kiuchumi pekee pia hata kwenye sanaa.Naona umetegea kwa kuvuta kinyoa kwenye kende zake unasubiri atikisike tu ukivute kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
😀 wanahitaji elimu au wew ndo unahitaji elimu? Maneno meeengi😀😄Nyie mnahitaji elimu. Aliyepost ameandika “Nairobi in Art and Culture.” Huyo dada aliyechorwa ni character wa TV show ya Spain iliyopo Netflix inaitwa Money Heist. Jina lake ni Nairobi na ndiye character pekee mwenye jina la mji wa Afrika kwenye hiyo drama alongside wenzake kama Tokyo, Berlin, Rio, Denver na Helsinki. Idea nzima ni kuwa Nairobi is a global city na ni mji ambao ni influential sio kwenye politics (United Nations) na kiuchumi pekee pia hata kwenye sanaa.