chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,692
- 45,960
Suti kama Suti 🧐
Poof that this is Tanzania all these luxury vehicles are drive cars
Sio lazima ufike kila mahali ndio maana Kuna internet..
Hiyo picha Ni ya ajabu? Wewe Cha Maana ulicho post Ni kipi?
Unasumbuliwa na nongwa Sana bwana Sukuma gang.
Nakuongezea kitu kingine Cha ajabu ili uchukie zaidi 👇
![]()
Samia's role as investments triple to $3.16 billion in 5 months
Some 132 projects worth $3.16 billion were registered From July to November 2022 compared with 108 projects worth $881 million recorded previously.www.thecitizen.co.tz
Nenda kwenye page yakePoof that this is Tanzania all these luxury vehicles are drive cars
Geza kwa nini wadau wa biashara hii ya mabasi hawatumii mabasi ya aina hii kama Zambia na SA?naiona bus ya doubledecker Scania Marcopolo G7 Tanzania in 2023
![]()
Wako wanashindana na nchi zenye vita completely🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bongolala nzima hakuna Tesla. 🤣 🤣 🤣
Mutangoja miaka 25 kupata moja. 🤣🤣🤣 Hakuna brand ya gari iko bongolala Kenya hakuna.Sasa hii ni gari yakusumbua watu mjini 🤣🤣
Ni simple kama huku ni Tanzania nionyeshe mimi situmii TikTokNenda kwenye page yake
Kaanza kuchanganyikiwa sasa 🤣🤣🤣Poof that this is Tanzania all these luxury vehicles are drive cars
Tesla ni gari ya kawaida sana yani nakushangaa kutuonesha tesla 🤣🤣🤣 lamboghini urus tafuta utuoneshe achana na ile ya uganda plzMutangoja miaka 25 kupata moja. 🤣🤣🤣 Hakuna brand ya gari iko bongolala Kenya hakuna.
Bongo ni mambo ya kawaida sana 🤣🤣Ni simple kama huku ni Tanzania nionyeshe mimi situmii TikTok
Gari ya kawaida ambayo hakuna bongolala hata mmoja anamiliki. 😂 😂 Eti ya Uganda, naona bado unaumia sana, ingine tena ya kuongeza maumivu ndio hii hapa.Tesla ni gari ya kawaida sana yani nakushangaa kutuonesha tesla 🤣🤣🤣 lamboghini urus tafuta utuoneshe achana na ile ya uganda plz
So hii ndio proof kuwa hapo ni Tanzania ama?Bongo ni mambo ya kawaida sana 🤣🤣View attachment 2463626