Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila dunia inatuacha mbali bwana.. nimepitia hii vid ya huyu dogo wa ki British akitangaza Saa janja (smart watch) ya kampuni ya Oppo, version ya 3 pro. Ona vile duniani hutumia saa tu kununua bidhaa.. hii ndio cash less society sasa .. check hapo 👇. EA tuko na safari ndefu sana kufika uku..
 
Tanga port as we are speaking!

Kazi iendelee!!
Screenshot_2022-12-30-18-00-59-920-edit_com.whatsapp.jpg
 
Back
Top Bottom