The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Kunyaland watapita kimya kimya Kama hawajaona 👇
Malima simpendii huyu jamaa waturejeshee Gabriel wetu aseeit is all good ngoja tuone ila naona kama kuna uropokaji kutoka kwa mheshimiwa!
Shida sio wakusanya chupa, shida ni wakundustan wote ni wachafu, wana uchafu wa kuzaliwa. Hapo ukiangalia sio tu chupa kuna uchafu wa kila aina, hata Airpot nishawashuhudia wakundustan utakuta anakula pipi [emoji516] alafu ganda anatupa chini just imagine ni airport na dustbin zipo.Kwan hakunaga wakusanya chupa huko?
Shida sio wakusanya chupa, shida ni wakundustan wote ni wachafu, wana uchafu wa kuzaliwa. Hapo ukiangalia sio tu chupa kuna uchafu wa kila aina, hata Airpot nishawashuhudia wakundustan utakuta anakula pipi [emoji516] alafu ganda anatupa chini just imagine ni airport na dustbin zipo.
Tesla ya kuchongesha milango Gikomba!Mwarabu bandia, hapo vipi?
![]()
Maumivu peleka Tandale bongolalaTesla ya kuchongesha milango Gikomba!
Hebu leta model ya Tesla ina milango ya namna hiyo!Maumivu peleka Tandale bongolala
Rais amepokea kwa masikitiko kifo cha Pele
Wap nimesema kuna tatizo?Tatizo nini kwani?
Tesla ya kuchongesha milango Gikomba!
We mzee heshimu miaka yako bana, Tesla Model X zote milango hufunguka hivyo.Hebu leta model ya Tesla ina milango ya namna hiyo!
Chief inaonekana kati ya tabia zinakuchukiza ni uchafu, nikihesabu posts ambazo umezungumzia uchafu ni countless. Hongera sana.Shida sio wakusanya chupa, shida ni wakundustan wote ni wachafu, wana uchafu wa kuzaliwa. Hapo ukiangalia sio tu chupa kuna uchafu wa kila aina, hata Airpot nishawashuhudia wakundustan utakuta anakula pipi [emoji516] alafu ganda anatupa chini just imagine ni airport na dustbin zipo.
Post zako dhidi ya mama mara nyingi ziko sarcastic!Wap nimesema kuna tatizo?
Model Y also!We mzee heshimu miaka yako bana, Tesla Model X zote milango hufunguka hivyo.
Enda ukanyonyeshe wajukuu, maneno ya Tesla wachia vijana.Leta model!
Tesla inakuanga na milango ya aina gani?Hebu leta model ya Tesla ina milango ya namna hiyo!