Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,170
Wakundustan matajiri wa makaratasi wameiona hii kweli?
Hii kitu huwa ni obeservation yangu kila nikiona video kutoka kenya. Huwa nashangaa ninachokiona kwenye video na maneno wanayoletaga humu, ni vitu viwili tofauti. Mbinguni na JehanamKuna Video za hivi karibuni za Siku ya Christmas au Wiki hii za Nairobi kaangalieni [emoji23]Observe magari yao Barabarani , Watu pamoja na mionekano yao. Na mpate conclusion ya Maswali mengi [emoji23].
Naona Tz iko peke yake kabisa East and Central Africa iko so lonely, wazembe wameacha Tz ipiganie huu ukanda.
TujikumbusheJamen, nawakumbusha tu.. msisikilize ujumbe tu.. angalien na mazingira na magari yanavyoonekana kweny video yoyote inatoka kenya.. afu linganisheni na maneno yao humu ndan.. yan ni mbingu na nchi.. hakuna uhalisia😅View attachment 2329109View attachment 2329110View attachment 2329111
Tujikumbushe😄Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
Sasa hapa kunakaribiana na hali ya kuzipiga ngumi! chaaa....! nakumbuka nilipewa ban jina la Kunyaland lilipoanza humu ila JF wakashindwa mikiki ya kukubalika jina lile! 2023 Kundustan ina-trend kinoma! mi naomba kuuliza mtu anayetoka Kundustan kama nairobae na Teargass wanaitwaje kwa Kiswahili? 🤭 🤭 🙆♂️🙆♂️🤷♂️🤷♂️Sifa ya Lugha yoyote ile ni kuzaliwa, kukua na kuendelea kutokana na Misamiati mbalimbali. Bila shaka mna mchango mkubwa katika Ukuaji wa Lugha.[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2463303
Kwamba kuna kampuni ishanunua hii ngoma ama!!naiona bus ya doubledecker Scania Marcopolo G7 Tanzania in 2023
![]()
Sijaelewa hapa mkuu, kwamba ndio tayari ishapitishwa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sifa ya Lugha yoyote ile ni kuzaliwa, kukua na kuendelea kutokana na Misamiati mbalimbali. Bila shaka mna mchango mkubwa katika Ukuaji wa Lugha.[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2463303
Kundustan sehemu iliyoendelea ni ndogo sana ukilinganisha na Tz, walikuwa wanaringia vi estate uchwara ambavyo ni low quality, plus na vi flyover vya tofali but in reality wako hovyo mnoo.Hii kitu huwa ni obeservation yangu kila nikiona video kutoka kenya. Huwa nashangaa ninachokiona kwenye video na maneno wanayoletaga humu, ni vitu viwili tofauti. Mbinguni na Jehanam
naona wamebadili!So Cruise Ship Terminal itakuwa hapo sio Kunduchi tena?
Unaonaje?naona wamebadili!
aah mi sijui aisee naona kama sehemu iko ndogo! Kule Kunduchi wana sehemu nzuri! Wafikirie terminal ya ku-dock hata cruise ships tatu kwa mpigo with seabridges na pia boats za Zanzibar ziendelee kutia nanga bila usumbufu hapo Forodhani! Kwa maoni yangu waboreshe terminal ieendelee kuwa ya boats wakati terminal ya cruise ships iende Kunduchi!Unaonaje?
Sifa ya Lugha yoyote ile ni kuzaliwa, kukua na kuendelea kutokana na Misamiati mbalimbali. Bila shaka mna mchango mkubwa katika Ukuaji wa Lugha.[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2463303