Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo simu haziwezi leta tatizo kwenye usalama wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sidhani hata unaelewa ninachokisema, ni hivi nilikuwa naongelea double standard.

Hayo waliyokuwa wanawashutumu wachina, google wamekuwa wakifanya toka 1998. Google toka ilipoanza imekuwa wakiweka cookies kwenye computer zetu kwa miaka 30.

Hawakuishia hapo, wakawa wanagawa analytics codes kwa websites mbalimbali (ikiwemo JamiiForums) ili kutrack mienendo ya watu dunia nzima.

Bado hawakutosheka, wakaanzisha browser yao (chrome) ili kuwakamata wengi zaidi, mwisho fungakazi wakanunua android ili waweze kuwa na full control ya identity ya watumiaji (finger print, facial recognition, voice id, contacts and just about everything at their disposal).

Kama hujui, Google, Youtube, Facebook, Instagram, whatsapp vyote hivyo ni vyombo ya kiupelelezi. Ndiyo maana baadhi ya nchi makini wamezizuia hizi huduma.
 
You are led by slave minds.
Gluttony and poverty of income and mind are bothering you and you will die before your days.
Bongolala, now that you are mentioning poverty, just know that hakuna nchi iko na poverty rate ya juu hapa EA kushinda Tanganyika, just in case you didn't know. Usiwe mtu wa kupurukika pasipo na uelewa
 
Bongolala, now that you are mentioning poverty, just know that hakuna nchi iko na poverty rate ya juu hapa EA kushinda Tanganyika, just in case you didn't know. Usiwe mtu wa kupurukika pasipo na uelewa
Hakuna maskini anaekufa njaa Tz .. huko kwenu laana..
 
Nimekuuliza reli itainuka lini?😂😂🤣 Tazama render uone kitu naongelea alafu ulinganishe na takataka mnajenga😂

View attachment 2458079View attachment 2458080

sgr_dom.png

Ukiangalia hiyo picha ya chini utaona palivyoinuka.

kwa kutumia scale ya magari yaliyopaki (pickup trucks), roughly ni kama urefu wa magari mawili yakisimamishwa juu. Hivyo tunaweza kufanya assumption ya zaidi ya mita 10 kwenda juu, kama tukichukulia urefu wa Toyota Hilux (5.2m). Hivyo utaona render iko sawa kabisa.
 
Tumeamua tuu kuiita hivyo kwasababu ya kutofautisha treni zetu, tuna reli za aina nyingi kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki. Tunayo ya zamani (Meter gauge), ya Tazara (cape gauge) na hii SGR (Standard gauge)
So SGR kwako ni train ama rail?
 
Back
Top Bottom