ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Maongez yako nikiyachungulia ni kama yamejaa machozi na makamasi lita 50🤣🤣🤣Eti hii ndo your 2nd best sgr terminal, hii hata haiifikii ya emali huku
Maongez yako nikiyachungulia ni kama yamejaa machozi na makamasi lita 50🤣🤣🤣Eti hii ndo your 2nd best sgr terminal, hii hata haiifikii ya emali huku
Taarifa huwa haziwasilishwi hivyo kijana toka Kundustan Republic.
Pole sikujua hujui kusoma kingereza ju hayo yote unauliza iko kwa hio article. Tafuta mwenzako akufanyie translation.Taarifa huwa haziwasilishwi hivyo kijana toka Kundustan Republic.
Kwenye news lazima uweke
What, Who, Where, When, Why and How.
You news is useless.
Article isiyo na date is just a piece of flying toilet.Pole sikujua hujui kusoma kingereza ju hayo yote unauliza iko kwa hio article. Tafuta mwenzako akufanyie translation.
Gazeti la wapi hilo 🤣🤣🤣🤣
Huu mchongo utawapa sana mawazoMbn unaongea kwa uoga, content co ukubwa kama ukubwa ningeongelea ya Dar bali content ni hiiView attachment 2457962
Sasa hasira za nn 🤣🤣🤣🤣🤣 na hii ni 2021 budaa 2022 musishangae kusikia 22m tons mpaka 25m tonsPole sikujua hujui kusoma kingereza ju hayo yote unauliza iko kwa hio article. Tafuta mwenzako akufanyie translation.
Yaani kifupi ni hesabu za kawaida sana.Sasa hasira za nn 🤣🤣🤣🤣🤣 na hii ni 2021 budaa 2022 musishangae kusikia 22m tons mpaka 25m tons
View attachment 2457969
Maongez yako nikiyachungulia ni kama yamejaa machozi na makamasi lita 50![]()











Hapendi kusikia hvo 🤣🤣🤣Yaani kifupi ni hesabu za kawaida sana.
Kama ongezeko ni 14.9% ambayo ni sawa na 2.8M so
19.8+2.8 = 22.6 au hataki?
Alafu kama ilivyo kwenye Airports, Wakenya wakumbuke sisi hatutegemei port moja, tuna major ports 6, tatu za baharini na zingine za maziwa. So wakae kwa kutulia mwendo tunaoenda nao si wa bara hili.Sasa hasira za nn 🤣🤣🤣🤣🤣 na hii ni 2021 budaa 2022 musishangae kusikia 22m tons mpaka 25m tons
View attachment 2457969
All your ports 19 millionSasa hasira za nn 🤣🤣🤣🤣🤣 na hii ni 2021 budaa 2022 musishangae kusikia 22m tons mpaka 25m tons
View attachment 2457969
NDINDA anacheka sana 🤣🤣 ili uende sawa na mkenya ni lazma uwe kama wazimu kidogo yani ujichetue kidogo ndio maana unaona tunaongea lugha moja bila hvo kaka mkenya anaeza kukwambia kenya iko europe na yuko serious kabisa hacheki
Uchafu ni zero kabisa.Niko mwanza
Angalieni proper pedestrian yani unaeza kusema uko germany na sio tanzania🤣🤣View attachment 2458008View attachment 2458009View attachment 2458010View attachment 2458011View attachment 2458012View attachment 2458014View attachment 2458015View attachment 2458016View attachment 2458017View attachment 2458018View attachment 2458019View attachment 2458020View attachment 2458021View attachment 2458013
NDINDA anacheka sanaili uende sawa na mkenya ni lazma uwe kama wazimu kidogo yani ujichetue kidogo ndio maana unaona tunaongea lugha moja bila hvo kaka mkenya anaeza kukwambia kenya iko europe na yuko serious kabisa hacheki
Ndio maana hua natumia usemi wangu kua kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke na usiangalie nyuma![]()
.Asante mjumbe wa kamati kuu 😁😁Mwenyekiti nakubaliana na wewe 100%.
Unajua meaning ya the phrase Tanzanian ports kweli? It means all the ports in Tanzania including Mwanza handled a combined 19M tonnes. Wewe akili Yako Huwa haikusaidii hata kidogo😂😂Sasa hasira za nn 🤣🤣🤣🤣🤣 na hii ni 2021 budaa 2022 musishangae kusikia 22m tons mpaka 25m tons
View attachment 2457969