The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Dom, naambiwa miti imepandwa kwa wingi sana eneo hili. Mwakani inshallah kutakuwa na muonekano tofauti kabisaa.
Ikulu moja balaa zito .💥💥 Huu mzigo ni komesha .. na unakula kijani usivyovijua wewe. DODOMA is no longer the same
Aibu ni kuwapokea watalii kwenye hemaJengo halifiki hata $200,000 ndiyo la kubrag? Unatia aibu mazee.
Eti hii ndo your 2nd best sgr terminal, hii hata haiifikii ya emali huku
They keep coming...
Crane mbili pekee. While Mombasa Port ikonazo 16. Bado mko nyuma sana, endeleeni kutia bidii. 👏
Crane mbili pekee. While Mombasa Port ikonazo 16. Bado mko nyuma sana, endeleeni kutia bidii. 👏
Kwa hiyo simu haziwezi leta tatizo kwenye usalama wa nchi?FYI vifaa vyote vya mawasiliano vya electronics vina back door access, tena hata hizi social media hao hao unaowatetea wanazo access nazo, unafahamu twitter files wewe?
Siyo kila kitu ni biashara, vitu vingine ni kwaajili ya usalama wa nchi. Sababu ya TANESCO kuwa bado inamilikiwa na serikali ni kwasababu ya usalama wa nchi.
Crane mbili pekee. While Mombasa Port ikonazo 16. Bado mko nyuma sana, endeleeni kutia bidii. 👏
Crane mbili pekee. While Mombasa Port ikonazo 16. Bado mko nyuma sana, endeleeni kutia bidii. 👏
Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.Ikiwa Dar itapata crane hata 5 basi mombasa itakua ni upuuzi tu.. 16 cranes in Mombasa port na Ina handle 30 million tonnes vs 2 cranes in Dar port zenye zina handle 22 million tonnes .. heb ona vile hizo cranes zenu nyngi ni useless ..