Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,203
- 33,412
The other side of the building Iko wapi? Train inafaa ipite katikati.View attachment 2458280
Ukiangalia hiyo picha ya chini utaona palivyoinuka.
kwa kutumia scale ya magari yaliyopaki (pickup trucks), roughly ni kama urefu wa magari mawili yakisimamishwa juu. Hivyo tunaweza kufanya assumption ya zaidi ya mita 10 kwenda juu, kama tukichukulia urefu wa Toyota Hilux (5.2m). Hivyo utaona render iko sawa kabisa.