Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unachouliza kuhusu train kupanda juu ni kipi wakati tayari kuna floor ya chini kwenye jengo kabla ya boarding platform?
Render is facing north while actual building is facing south 😂🤣
 
Render is facing north while actual building is facing south 😂🤣
SAI PHARMACEUTICALS LIMITED
WHITEFIELD EDGE,LAVINGTON
OLE NGURUONE/JAMES GICHURU ROAD JUNCTION
P.O. BOX 66551 00800
Nairobi, Kenya

Landline: +254 20 4454301 /2 /3

Mobile: +254 733 741 911

Mobile: +254 721 243 322

Fax: +254 20 4454305
 
Who's facing south? Cameraman or building? Wewe utakua umemeza dawa za maiti huko kazini kwako!
Actual building na render zinatofautiana kama usiku na mchana. That's the meaning of north and south 😂🤣
 
Kundustan walijenga berth tatu Lamu wakapiga kelele dunia nzima ikaskia! Sasa hivi kitu kimegoma wakati GOT inapanua bandari tatu kwa mpigo kimyakimya!
Quay length ya three lamu berths is longer than ya entire Dar is slum port.
 
Actual building na render zinatofautiana kama usiku na mchana. That's the meaning of north and south 😂🤣
1671993054627.png
 
Mimi nilipenda kuelimishwa faida za uchumi wa kununua bidhaa za wengine bila kuzalisha sisi wenyewe.

Tuchukulie biashara ya mitumba, ilipoanza kipindi kile cha Mwinyi, wachuuzi wengi walifaidika sana (ajira). Kadhalika wafanyabiashara wa maduka ya jumla na reja reja pamoja na watu wachache wanaowazunguka walinufaika (ajira). Kwa upande mwingine, zao la pamba lilikufa kibudu.

Wakati wa Mwalimu watu walivaa nguo za pamba za kushona. Hapa kulikuwa na ajira kubwa sana ya mafundi cherehani (nchi nzima), hasa kipindi cha siku kuu. Kulikuwa na maduka mengi ya kuuza vitambaa (ajira), vilivyotengenezwa kwenye viwanda vya Tanzania kama Urafiki (ajira). Viwanda hivi vilinunua pamba kutoka kwa wakulima wa Tanzania (ajira), wakulima hawa walinunua pembejeo kutoka viwanda vya Tanzania kama ZZK (ajira). Ukiangalia mlolongo huo utaona wanaonufaika walikuwa wengi sana.

Sasa naomba kuelimishwa faida za uchumi wa uchuuzi kwa taifa ni zipi?
Prof. PLO Lumumba once said, and I quote "THOSE WITH POWER HAVE NO IDEAS WHILE THOSE WITH IDEAS HAVE NO POWER". That is the answer to your question if you digest PLO Lumumba's Statement deeply!
 
Sasa TICTS walikuwa wana run only container terminal ya Dar amabyo ni birth 8 to 11 , berth 12 ni oil na Berth 0 ni roro, So TPA itazichukua 8 to 11 na vifaa vyake
Ebu jiulize mbona muntafuta another contractor instead of running it yourselves? Unajua hapo kwa container handling ndio kazi kubwa iko.
 
Yamekushinda kubali yaishe na uache kukurupuka, kwa nyuma jengo linazibwa hivi FYI View attachment 2458105
Hio ya juu muonekano wa nje nadhan ni cladding.. yan wataweka machuma machuma ya kuform structure nyingine ili jengo liwe na muonekano mwingine kama hiyo ya render.
Pia ndo mana katikat ya picha zote mbili kuna space imeacha..
 
Back
Top Bottom