Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picture ya render inaonesha mbele ya jengo, haya tuoneshe nyuma ya jengo kutoka kwenye render
Nimekuuliza reli itainuka lini?😂😂🤣 Tazama render uone kitu naongelea alafu ulinganishe na takataka mnajenga😂

image_downloader_1671961055006.jpg
1671959056342.png
 
Halafu anavyopiga mayowe humu. Kwanza huyu mwanamke maisha yake ni ya kuunga unga sana. Kaajiliwa mwezi wa sita mwaka huu.
😅😅😅 Dah atakua anapima dawa dirishani huyu halafu huyu ni Jane Msarendo, Jane anapenda sana kujifanya mwanaume, wamchunguze vizuri nyendo zake huenda wakawa na michezo yao na huyo Muhindi Shakira 🤣
 
Napenda vile nakuhangahisha. Mara Nurse, Mara Shakira Mohammed, Mara Sai Pharmaceuticals, Mara Kotecha. Which is which now?😂😂🤣🤣😂😂🤣😂
Hahahaha. Unakataa sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Owner Bhavesh Kotecha
Anayekulipa mshahara Shakira Mohammed
Kampuni Sai Parmaceuticals

Usijifanye huelewi. Mbwa wewe
 
Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
Sasa TICTS walikuwa wana run only container terminal ya Dar amabyo ni birth 8 to 11 , berth 12 ni oil na Berth 0 ni roro, So TPA itazichukua 8 to 11 na vifaa vyake
 
Back
Top Bottom