Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,263
- 18,079
Ulitarajia kuona dreamhouses na mpangilio mbovu kila mahali kama ilivyo desturi Dar?😂😂Izo slums mnampango wa kuziondoa?
Barabara nzuri majengo mazuri ila katikati uko kuna watu wanateseka na umaskini View attachment 2456831