Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ningefahamu mamako but ubaya hayuko hapo.
Kumbe Shakira Mohamed naye yumo?
Screenshot_20221223-114136.png
 
Wew jamaaa....hii ndo mombasa mzee...aerial views zisikudanganye...bado sana...



Nenda kalilie chooni bongolala. Ghetto areas zipo everywhere. Stop licking yiur wounds by posting those video thinking it will make any difference between Mombasa nland Mwanza. The former is just miles away
 
Alafu utasikia mtu yupo busy anataja Mombasa na Mwanza kwenye sentensi moja. Uchizi wa hali ya juu!
Wanajitia hamnazo tu.., google earth iko, Mimi ni kiboko yao wakileta nyoko naanika Tanzania yoote.., google earth 3D views., Hawa watu wako na kiswahili mob tu full of propaganda., nothing else.
 
Kwani unataka niwe watchman kama wewe? Najua unatamani niwe jobless hili niwe kama wewe lakini sorry, this year I have already worked in two companies lakini wewe bado umekazana na being watchman

View attachment 2455458View attachment 2455459
Huna kazi mbwa wewe kaa kmy, wewe ungekuwa japo na kikazi cha kujishkiza ungesumbua sn humu kwa mdomo wako mpana, kazi gn unafanya wewe masaa yote upo JF
 
Kuna relationship gani Kati ya mababu zao kutumia dawa za asili miaka ya nyuma na wakenya kuongea Kiingereza leo? Lugha si kitu pekee kilichoachwa na wakoloni. At least lugha ya Kiingereza inawasaidia ku-interact with the rest of the world.

Wakoloni walileta Ukristo. Na ukisikiliza watu wengi wanaopinga chanjo wanatumia dini kujenga sababu zao. Often, wanafikiri chanjo ni seal ya the anti-Christ. It’s ridiculous when you think about it kwasababu hao hao watu wanaenda hospitali kila siku kupata modern medicine na chanjo nyingine pia wamepata.

Leo hii mtu aliyeambukizwa na HIV hatasumbuka na “kujifukiza” Bali atapata antiretroviral drugs kuzuia HIV ku-replicate mwilini.

Acheni kurudi Stone Age kwasababu ya imani potofu. Sababu ya kwenda shule kila siku ni kuondoa ujinga. Ndio ujinga huu ambao Nyerere Alisema ni ADUI WA TAIFA!

Mababu zao hawakuwahi kufa kwa njaa lakini siku hizi ni kawaida kwao. Inakufa njaa huku inaongea kiingereza

Una uhakika kama Mababu zao Au mababu zetu hawakuwahi kufa kwa njaa? Kiingereza Mbona ni adui sana? Ni lugha ya Taifa la Tanzania pia. Au hukufahamu? Elimu, Serikali na pia Mahakama ya Tanzania inatumia lugha ya Kiingereza. Kujua lugha zaidi ya moja sio kitu kibaya. Tena ni skills zinazoweza kukupa opportunities nyingi sana. Usipotoshe watu Kwa kuwafanya waone kuwa kuzungumza kiingereza ni kutokuwa wazalendo. Watu wasio na hamu ya elimu na kujifunza vitu vingi zaidi vya dunia kama Wewe Ndio sababu tupo nyuma sana kitaaluma! Acha upuuzi!
Leo umeandika kiswahili nilifikiri hukijui😂😂😂
 
Back
Top Bottom