Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hapo unakodoa macho tu.
1. Bridge Hujaleta
2. Railway Transport hujaleta
3. Bus Transport Hujaleta
4. Water Sports Hujaleta
5. Yacht Hujaleta

Tuanze kimoja kimoja kwanza.
Nataka tuanze na Buses from Nairobi to other Counties.
Na mimi nitakupatia from Dar es salaam to other regions.
Why should I worry about buses yet hizo buses zenu are made in Kenya?
 
Kama wako na street festival you are free to post it here🤣😂
Ninaanza.
From Dar es salaam to Mtwara
Buti la Zungu

maxresdefault.jpg


15138563_974482875990000_8782954716545954417_o.jpg


15193690_974482952656659_1318165714728859277_n.jpg
 
Asante kwa hivi picha. Ukiangalia windscreen hapo chini utaona imeandikwa AVA. Hiyo ni kampuni ya kuunganisha Magari, inapatikana huko Mombasa.

View attachment 2456119
Leta video yenye ushahidi kwamba AVA wanafanya assembling ya mabasi.

Kama vile inavyoonekana Kwa Hans akirefusha chassis za land cruiser na TDI. Leta tuone akiunganisha buses... AVA hamfikii hata Machame safari Kwa kutengeneza body za gari.. Bado Kilimanjaro nae anatengeneza zake..

Kampuni ya kenya iliyokuwa ina unda body za mabasi Kwa kuzileta Bongo ni Andare tu.
 
Back
Top Bottom