tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kwani ni taarifa ngapi zinatumwa humu ndani za mataifa mbalimbali Mbona unasumbuka sana na iyo taarifa ya Ghana?Kuniita poor unanikosea mno. Jana nilikuuliza issue yako ya Ghana. Mpaka leo hujanieleza. Nilikuuliza swali issue ya Ghana kuwa bankrupt inatuhusu nini sisi!? Hujanijibu. Nikakuuliza tena unataka tusikope!? Hujanijibu sasa unataka nikueleweje!?
Nakuuliza swali unieleweshe. Hutaki. Leo umeamka ukiwa na hasira na mimi. Unaanza kuniita poor. Are you serious!?
