The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Haiwezi kuwa Africa hii itakuwa China tu.Hii wapi.
View attachment 2456087
Haiwezi kuwa Africa hii itakuwa China tu.Hii wapi.
View attachment 2456087
MY TAKE
More busy than Lamu port by far!
Leta video yenye ushahidi kwamba AVA wanafanya assembling ya mabasi.
Kama vile inavyoonekana Kwa Hans akirefusha chassis za land cruiser na TDI. Leta tuone akiunganisha buses... AVA hamfikii hata Machame safari Kwa kutengeneza body za gari.. Bado Kilimanjaro nae anatengeneza zake..
Kampuni ya kenya iliyokuwa ina unda body za mabasi Kwa kuzileta Bongo ni Andare tu.
Kenya sio level yenu.Leta video yenye ushahidi kwamba AVA wanafanya assembling ya mabasi.
Kama vile inavyoonekana Kwa Hans akirefusha chassis za land cruiser na TDI. Leta tuone akiunganisha buses... AVA hamfikii hata Machame safari Kwa kutengeneza body za gari.. Bado Kilimanjaro nae anatengeneza zake..
Kampuni ya kenya iliyokuwa ina unda body za mabasi Kwa kuzileta Bongo ni Andare tu.
Ahero inajengwa hapo toka mwaka gani ina miaka 4 na kitu sasa munajenga kitu gani 🤣🤣🤣🤣Watu wa Kisumu wameamua wanatoroka Nairobi wote. This is at the Ahero interchange which is currently under construction.
Government need to expand this road to around six lanes from Nairobi to Malabar.
View attachment 2455981
Ningekujibu lakini sieziboshana na mwenye anatoka nchi Iko na interchanges mbili nchi mzima😂😂Ahero inajengwa hapo toka mwaka gani ina miaka 4 na kitu sasa munajenga kitu gani 🤣🤣🤣🤣
Same bus car by darcoach 🤣🤣🤣
Zifike? Lini? Au unafikiri Mtwara itabaki na Gantry crane moja? FYI na za Mtwara nyingine zaja!Hii port ikona STS Ganty crane moja pekee, ngoja rail mounted gantry cranes za Lamu zifike hii ujinga ya kucompare lamu na hizi fishing port za bongo utawacha.
Thanks for posting edited picture 😂😂😂Same bus car by darcoach 🤣🤣🤣
View attachment 2456135
Na nani anazikusanya?Tupe hesabu za makusanyo ya tozo na hizo pesa zinapelekwa wapi?
Wewe nikama hujui AVA, punguza kuropokwa. AVA is the biggest assembler wa magari in this region of Africa.Leta video yenye ushahidi kwamba AVA wanafanya assembling ya mabasi.
Kama vile inavyoonekana Kwa Hans akirefusha chassis za land cruiser na TDI. Leta tuone akiunganisha buses... AVA hamfikii hata Machame safari Kwa kutengeneza body za gari.. Bado Kilimanjaro nae anatengeneza zake..
Kampuni ya kenya iliyokuwa ina unda body za mabasi Kwa kuzileta Bongo ni Andare tu.
Nani ali edit mama ngina 🤣🤣🤣Thanks for posting edited picture 😂😂😂
Dar coach