Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I know what you want to hear and worse, you don't want to hear the truth. I do know and acknowledge your exceptional level of stupidity, but I still have reservation for you.

From these pictorial evidence, you can easily identify poor leadership.

Uhuru Kenyatta
View attachment 2452952

John Magufuli
View attachment 2452953
a very old design this one!..
mwanzo hizo taa🤔 ni model ya early 80s🤣🤣
Screenshot_20221220-191147_Google.jpg
Screenshot_20221220-191232_Chrome.jpg
 
Wewe jibu hoja kama unayo sio kuuliza maswali ya kipumbavu, ulinilipia ada?
Ungekuwa na hoja ningejibu. Bahati mbaya ama nzuri nimeliona tatizo la elimu na si vibaya kuuliza "uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".

Haya, nikutakie kila la kheri na safari yako ya elimu kwenye mitandao na simu janja.
 
Ungekuwa na hoja ningejibu. Bahati mbaya ama nzuri nimeliona tatizo la elimu na si vibaya kuuliza "uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".

Haya, nikutakie kila la kheri na safari yako ya elimu kwenye mitandao na simu janja.
You wanna get me enrolled in your idiocracy class? No man……..not me, try some other fools around. I have actually get tired with your nonsense, kila siku kumtukana Samia kwa hoja za kipumbavu kabisa, nchi inasonga vizuri kabisa wewe umekalia kumbania makende tu, umetumwa?
 
Nakubaliana nawe kwa hili. JPM aliwadanganya sana watanzania kuhusu ufadhili wa miradi mikubwa and it's a pity most Tanzanians believed him. Afadhali yule anayekuambiwa ukweli mchungu kuliko anayekudanganya na uwongo mtamu
Sio tuu alidanganya Bali kwenye bwawa na sgr alikopa mikopo ya kibiashara inauoiva kwa mda mfupi wa Miaka 5 na riba kubwa,ndio hiyo inasumbua..

Hakuna mradi mkubwa ambao sio wa mkopo,kwa uzoefu wangu ukiona mradi unasua sua jua Ni Pesa ya ndani Ila ukiona mradi unatembea jua Ni Pesa ya mkopo..
 
Kuna kitu lakini inabidi GOT wajitahidi hasa under The current president tusije tukakopa hadi tukaingia kwenye risk ya debt distress kama Majirani , sasa hivi asikope tena mara huku mara kule tutaingia kwenye distress tuingie kipindi cha kuwa na ubunifu wa kuongeza uzalishaji na kodi , na sio kodi za kuwaumiza wananchi , tutulie huku tukimalizia miradi sio kuruka huku na kule
Unfortunately no way out utajenga hiyo miradi bila mikopo..

SEMA hivi tuwe na kipaombele Cha mikopo,kwa mfano sio sawa mradi wa Tactic kukopa kwa sababu tunaweza tumia bajeti za Sasa kwa awamu na miradi ikafanyika..
 
Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.

Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.
Hakikaaaa
 
Back
Top Bottom