Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Najua wewe ni watchman huna uwezo wa kufikiria [emoji23][emoji23]Uyu mwenzenu anakaribia kuwa chizi[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua wewe ni watchman huna uwezo wa kufikiria [emoji23][emoji23]Uyu mwenzenu anakaribia kuwa chizi[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16]KENYA IVI MNA NDEGE CKUIZ AU LIMEBAKI JINA PALE
Ghana per capita mwaka 2021 inasoma $2445
Vitu vingine hua hazihitaji kubishabisha unapoteza wakatiView attachment 2454690View attachment 2454691
Uwe serious mzee. Ghana kwa Tanzania ni shitholeShida yako wewe ni mjinga, kazana ufuzu kenye upumbavu
Nchi ambayo iko bankrupt unalinganisha na Tanzania? You must be very funny size yao ni Kenya Tz hawaiwezi.Yani waGhana 31M wanazalisha Gdp kubwa kuliko watanzania 61M huoni hatupo serious
Ni wivu tuu mkuu haoWith all that, and so much more, Kenyan fools along with some idiots are subjecting us to a least developed category.
Hii story tulishamalizana nayo kitambo sana. 😂😂Sasa nataka wakenya tuanze kuongelea issue za huduma za Afya. Hizi ni statistcs halali za Tanzania. Tuongelee issue ya Hospital. Kwa mujbu wa statistics halali zipo Hosipital 676 Tanzania , Vituo vya Afya 1,466 na Zahanati 7,965
Nawataka wakenya mje na facts.
View attachment 2454782
Hii inawauma sana wakenya
Kwamba kenya imegongwa!?Hii story tulishamalizana nayo kitambo sana. 😂😂
Did you win anything?Hehehehe tuko mbali sn hatufai kujilinganisha na vinchi vya East Africa.View attachment 2454786
Hapana, Tanzania iligongwa mbaya sana.Kwamba kenya imegongwa!?
Proof ipo wapi sasa!? Maana nyie wakenya ni waongo sana.Hapana, Tanzania iligongwa mbaya sana.
Za,kikabila hizo 😆😆😂Sasa hii trailer ndio inafanya unataka kulinganisha CITIZEN na AZAM?😂😂🤣😂 Apart from Azam Tv what other broadcasting network do they have?
Royal media have
1. Citizen Tv
2. Ramogi Tv
3. Inooro Tv
They have radio stations
1. Radio Citizen
2. Ramogi FM
3. Inooro FM
4. Musyi FM
5. Chamgei FM
6. Muuga FM
7. Chamgei FM
8. Bahari FM
9. Egesa FM
10. Hot 96
11. Milembe FM
12. Vuka FM
13. Sulwe FM
14. Magalata FM
15. Wimwaro FM