Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya mazee, haina shida.

Suala la Magufuli nilishalijibu hili jana, kuna miradi tulikopa na mingine tulitumia fedha za ndani.
But mlikopa $10B kwa mradi moja pekee. That's a hell lot of money, na pia mmekopa madeni mengine mengi tu so it's interesting how ukiona Ghana wakiwa bankrupt ni Kenya unafikiria yet nchi yako mwenyewe imo humo humo shimoni. Hivi huoni shida hapo.
 
Wewe mzee unahaha sana kuhusu Tanzania.
Hebu tuambie kenya imekopa $ ngapi mpaka leo?
 
But mlikopa $10B kwa mradi moja pekee. That's a hell lot of money, na pia mmekopa madeni mengine mengi tu so it's interesting how ukiona Ghana wakiwa bankrupt ni Kenya unafikiria yet nchi yako mwenyewe imo humo humo shimoni. Hivi huoni shida hapo.
Ukizidiwa arguments unakuja na ID yako nyingine unaanza kumbweka. 😀 😀 😀 😀
 
But mlikopa $10B kwa mradi moja pekee. That's a hell lot of money, na pia mmekopa madeni mengine mengi tu so it's interesting how ukiona Ghana wakiwa bankrupt ni Kenya unafikiria yet nchi yako mwenyewe imo humo humo shimoni. Hivi huoni shida hapo.
Ghana waneshafikia deni la zaidi ya 78% ya GDP, sisi bado sana, hata 50% hatujafika.

Kuhusu hiyo $10b, wewe hujui siasa zetu za ndani, kauli hiyo imesemwa ili kuficha uwezo mdogo wa uongozi wa awamu hii ya '6'.

Awamu hii haijatumia pesa za ndani hata kidogo kuendesha miradi, kutokana na ukusanyaji mdogo wa kodi. Makampuni hayalipi kodi, serikali haina pesa mpaka wameamua kuwakamua tozo wananchi. Hivyo kwa kuwa wamekopa sana wanaona aibu ndiyo maana wameamua kutoa figure ya jumla ($10b) bila maelezo.
 
Ghana waneshafikia deni la 78% ya GDP, sisi bado sana, hata 50% hatujafika.

Awamu hii haijatumia pesa za ndani hata kidogo kuendesha miradi, kutokana na ukusanyaji mdogo wa kodi. Hivyo kwa kuwa wamekopa sana wanaona aibu ndiyo maana wameamua kutoa figure ya jumla ($10b) bila maelezo.
Hivi una hiyo habari niliyoweka kwa bold yet uko more concerned na Kenya's debt status but sio ya nchi yako? That's the exact problem I'm talking about.
 
FhMLCSdWIAAKqK3
 
Punguza mchecheto, hapo juu nilisema Ghana.

Hata hivyo, kulinganisha na Kenya bado sisi hatujakopa sana, nyinyi mmeshafikia kiwango cha kutokukopesheka (redline).
 
Kulinganisha na Kenya bado sisi hatujakopa sana, nyinyi mmeshafikia kiwango cha kutokukopesheka.
1. Official sources zinasema Tanzania external debt to GDP ratio ni 40% but nina uhakika ni more than that ukiangalia mlivyo na tabia za kuficha ukweli hadi hii $10B mmeijua juzi yet ni pesa ilikopwa kitambo. Meanwhile, Kenya TOTAL debt to GDP ratio ni 67% ila sisi hatuna tabia ya kuficha ukweli.
2. Deni letu mostly ni internal debt,lenu mostly ni external so deni letu liko more manageable than lenu. Kumbuka mna official external debt ya $27 billion ambayo ni 40% ya GDP. Kenya external debt yetu ni $35.9 billion ambayo ni 32.6% ya GDP. Ukiangalia kama msomi nani ana shida hapo?
3. Hata ukijiaminisha Kenya tuko pabaya kuliko Tanzania, wewe kama Mtanzania ni situation gani yafaa ikusumbue? Hivi mtoto wako akiugua utakimbilia kupeleka wa jirani hospitali kisa wa jirani ameugua zaini?
 
Hebu tuoneshe wahudumu wa Kenya Airways. Hujui hata mambo ya uchumi usitusumbue hapa.

FiYkikHXgAIfsoq
 
1. Official sources zinasema Tanzania external debt to GDP ratio ni 40% but nina uhakika ni more than that ukiangalia mlivyo na tabia za kuficha ukweli hadi hii $10B mmeijua juzi yet ni pesa ilikopwa kitambo. Meanwhile, Kenya TOTAL debt to GDP ratio ni 67% ila sisi hatuna tabia ya kuficha ukweli.
2. Deni letu mostly ni internal debt,lenu mostly ni external so deni letu liko more manageable than lenu. Kumbuka mna official external debt ya $27 billion ambayo ni 40% ya GDP. Kenya external debt yetu ni $35.9 billion ambayo ni 32.6% ya GDP. Ukiangalia kama msomi nani ana shida hapo?
3. Hata ukijiaminisha Kenya tuko pabaya kuliko Tanzania, wewe kama Mtanzania ni situation gani yafaa ikusumbue? Hivi mtoto wako akiugua utakimbilia kupeleka wa jirani hospitali kisa wa jirani ameugua zaini?
Unahaha sana kijana. Punguza shobo. Ukiendelea kushobokea wanaume utapata.....

Kila kona unazinguka kuichafua Tanzania.
 
Ghana waneshafikia deni la 78% ya GDP, sisi bado sana, hata 50% hatujafika.

Kuhusu hiyo $10b, wewe hujui siasa zetu za ndani, kauli hiyo imesemwa ili kuficha uwezo mdogo wa uongozi wa awamu hii ya '6'.

Awamu hii haijatumia pesa za ndani hata kidogo kuendesha miradi, kutokana na ukusanyaji mdogo wa kodi. Makampuni hayalipi kodi, serikali haina pesa mpaka wameamua kuwakamua tozo wananchi. Hivyo kwa kuwa wamekopa sana wanaona aibu ndiyo maana wameamua kutoa figure ya jumla ($10b) bila maelezo.
Tanzanian debt to GDP is 56% as at October and still increasing at a higher rate.
 
1. Official sources zinasema Tanzania external debt to GDP ratio ni 40% but nina uhakika ni more than that ukiangalia mlivyo na tabia za kuficha ukweli hadi hii $10B mmeijua juzi yet ni pesa ilikopwa kitambo. Meanwhile, Kenya TOTAL debt to GDP ratio ni 67% ila sisi hatuna tabia ya kuficha ukweli.
Kama hizo figures zingekuwa za uongo tusingekopesheka. Hizi financial institutions zina watu wao wanawapa taarifa za nchi husika. Unafikiri kazi za balozi ni kutoa viza tuu?
2. Deni letu mostly ni internal debt,lenu mostly ni external so deni letu liko more manageable than lenu. Kumbuka mna official external debt ya $27 billion ambayo ni 40% ya GDP. Kenya external debt yetu ni $35.9 billion ambayo ni 32.6% ya GDP. Ukiangalia kama msomi nani ana shida hapo?
Mwenyeshida ni yule asiye kopesheka.
3. Hata ukijiaminisha Kenya tuko pabaya kuliko Tanzania, wewe kama Mtanzania ni situation gani yafaa ikusumbue? Hivi mtoto wako akiugua utakimbilia kupeleka wa jirani hospitali kisa wa jirani ameugua zaini?
Inaonekana hii issue ya Ghana kufilisika imekusononesha sana, hasa kwa kuwa Kenya ipo kwenye mwendo huo huo. Pole sana jirani, mmejitutumua sana kumuiga tembo kunya mavi makubwa, msilie sasa.
 
Back
Top Bottom