Of course lies is sweet to the ears. Because you want to hear something that's pleasing to your ears, it's not rocket science to guess who you believe between the twoWho are you to choose for us which presidents to believe between Magufuli and Samia?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Una habari Tumeanza kukopa kulipa madeni?Magufuli kaondoka phase one na two ziko asilimia ngapi? Wewe unajua utaratibu wa malipo Serikalini ni wa awamu (as per certificate), unadhani hizo percentage pesa zilitoka wapi? Alafu vipi kuhusu phase 3,4,5 na leo 6……hizo hela zinatoka wapi?
Magufuli aliacha Bwawa liko below 20% leo linakimbia over 70%, hizo zote ni hela.
Magufuli aliacha BRT phase 2 ikiwa inasuasua, leo tumepata pesa hadi ya phase 5.
Magufuli aliacha ndege 6 nadhani, Samia kaongeza tano zinakuja.
Mji wa Serikali Dodoma, Magufuli aliacha wizara zinatumia majengo madogo, Samia kaongeza hela wizara zote zinamalizia majengo yao makubwa kuwezesha watumishi wote kuamia kule.
Barabara, Samia kaweka hela za kujenga ring road Dodoma over 105km, hapo sijaweka za TARURA.
Daraja la Busisi JPM aliacha liko chini ya 20% leo limefika 60%,
Miradi iko mingi na hizo zote ni hela ambazo bajeti yetu haiwezi kussuport. Huu ndio ukweli. Tuendelee kukopa au tulipe kodi, tuchague tunataka nini…..!!
Ni mkapa, kama unatafuta idea ilikoanziaReli ilikuwa idea ya kikwete, sio huyo Kiparangoto.
Not just that, but building thousands of kilometers is what pains them even more.Tanzania kujenga SGR ni kitu ambacho kinawauma wakunya sana.
Let alone electric railNot just that, but building thousands of kilometers is what pains them even more.
Unatia huruma wallahi, najua unapitia kipindi kigumu sana ila utazoea. Tz tumetumia miaka saba (7) tu kuzidi flyover zenu za tofali, mbaya zaidi sisi tumejenga modern flyover na tushawazidi kwenye flyover, huu msemo wako ulikuwa unafanya kazi miaka mitano iliyopita sio sasa, tuko juu yenu kwa kila kitu, ila pole kwa kuku disappoint[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mko na flyover mbili pekee Tanzania nzima.
Wewe ndiyo usiongee kabisa, hata simu ya maana kdg huna mzee wa ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Assembled in Mombasa Kenya for lazy bongalalas.
Like wise is very cristal clear for Kenyans who are always jealous especially when they see their country can't even build a single kilometer of electric railway to believe that there is a country can do that just next to them, nothing but jeolousOf course lies is sweet to the ears. Because you want to hear something that's pleasing to your ears, it's not rocket science to guess who you believe between the two
100km expressway iko wapi Danganyika?Km 27 vs more than 100km
Mombasa has better port and infrastructure than any city in TanzaniaMombasa is your sec very important city lazima mpaboreshe
Matatu ni comfortable kushinda hii brt ya yenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sasa nyie mbona mnapanda matatu?matatu surely nayo ni k2 ya ku brag?
Kuna kitabu kinaitwa Who Moved my Cheese. Kuna watu hawataki kuachilia na kuacha mambo yaende. Wanaishi kwenye past.Who are you to choose for us which president to believe between Magufuli and Samia?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Siku mkipata kitu kama hiki mtaimba haleluya. Mtaziona kwenye google tu. Huko kenya mtaendelea kunyonya miguu ya Kenyatta EliteMatatu ni comfortable kushinda hii brt ya yenu
Unaongea kiushabikiMombasa has better port and infrastructure than any city in Tanzania
hapa huwezi kuwaona masikini wetu, hahahahhahhaHeheheeeee kipigo mwanzo mwisho, wewe endelea kujifariji mambo on ground ni hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2452752View attachment 2452754
deni la Tanzania ni himilifu, tuna uwezo nalo! hatujawahi kushindwa kulipa deni letu kama wakunya!Pesa za ndani pesa za chupi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wamejaza madeni na GDP ndogo kama panya.