REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,603
- 11,531
Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.
Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.
Ni mpumbavu sana huyu mama! na mihela yote aliyekopa, serikali haina hela.