Sio top but ni among the top. Nairobi huwezi pata Estate kongwe withing the city haina barabara kiasi hiki hata zile za watu wa kawaida. Estate utapata hazina barabara ni zile mpya on the outskirts of the city zenye bado zinajengeka. Hapa ni Kariobangi South - mtaa wa kawaida sana ila road network ipo.
View attachment 2439702
Hapa ni Umoja - Mtaa wa Kawaida sana. Road network ipo.
Ni aibu mtaa wa nne kwa utajiri Dar es Salaam kukosa barabara hata moja ya lami. Hili ni dhibitisho Dar haina lolote mbele ya Nairobi. Mtaa wa kumi na mbili kwa Ubora Nairobi ni Kileleshwa after Muthaiga, Karen, Kitusuru, Springvalley, Runda, Nyari, Riverside, Ridgeways, Lavington, Muthangari na Loresho. Saa hiyo hata hujafikia Westlands, Kilimani, Woodley, Riara, Hurlingham n.k na bado uko mbaali sana kufikia mitaa ambayo haina barabara za lami. Sasa mtaa wenu wa nne ukiwa hivi tunabishania nini?
Kileleshwa hii hapa - Mtaa wa kumi na mbili kwa ubora Nairobi.
Kileleshwa Neighborhood