Heheheeeee umejibu kwa maumivu, sasa ngoja nikupe siri tafuta mkenya yoyote najua kwa mazingira unayoishi huwezi pata mkenya aliyewahi kuja Tz, wewe nenda Airpot ukabahatishe mkenya aliyewahi kufika Tz zen muulize hilo swali atakujibu.
Tz hakuna njaa, kuna starehe za kutosha kuna kila aina ya raha ndiyo maana hata jiji la Dar linaitwa New York of Africa, Arusha ni Eden ya dunia, Dodoma ni Washington ya Afrika. Tz haiwezi kufananishwa na nchi yoyote ile ya Afrika mashariki hakuna nchi ya kufanana nayo, nchi hii imejaliwa kila kitu mpk watu wake wana ustaarabu wa kuzaliwa.
Sio kama nchi yenu hakuna sehemu za starehe, kanchi kadogo mji mmoja tu ndio mmejazana hapo hapo, kila mkenya ndoto zake kufika ka Nairobi






Hapa Tz kuna Watz hawana mpango na Dar cz nchi imejengeka kote kote, nchi yenu haina chakula cha kutosha, haina maji ni chafu kushoto kulia, ndio uje ulinganishe na Tz? Unaumwa Mavi wewe












