Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,956
Wait for our dear watchman akuambie vile Nairobi haijajengeka na hizo picha umeweka hapa ni misitu tupu.
Wait for our dear watchman akuambie vile Nairobi haijajengeka na hizo picha umeweka hapa ni misitu tupu.
Iyo picha ya tano Nimezoea kuona nyumba kama hizo USA, unyama sanaYeah, the wealthy and greenest part of Dar. Not bad but how does it fare against the greenest parts of Nairobi?
![]()
![]()
![]()
Na Arusha ni kubwa kuliko kijiji cha NairobiHakuna city yoyote hapo kenya yenye ni Greener than ARUSHA 👇 City even Naipori .View attachment 2439636View attachment 2439641View attachment 2439644View attachment 2439654
That's just the cover pic on the video. It was done by a Nigerian so he can be forgiven for using the wrong cover. Open the video and watch it though, it's all Kenyan.Iyo picha ya tano Nimezoea kuona nyumba kama hizo USA, unyama sana
Barabara apo inapita moja huwezi kuiona...I couldn't help but notice how bad your roads are in this pic which is very underwhelming considering those are the wealthier parts of Dar. No sight of a paved road. Kama kwa matajiri kunakaa hivi na kwa maskini je?
![]()
Mm excuses zako sina mpango nazo, nmekuuliza kati ya Kenya na Tz ipi nchi bora ya kuishi binadamu, excuses pelekea babu yako MathareI deal and work with people who frequent Tz sana, mimi nimechukua mda, wanawadharau ama ku take advantage of your ignorance kwa mambo mengi, and they enjoy cheap things, kama kawaida ya nchi fukara, maisha iko chini sana, and affordable.., ila mpo mpo tu.., changamkeni dunia imebadilika, usijitekenye mjukuu kwa propaganda zako za ku force mambo..., mko below Kenya upende usipende..., starehe za pwani tunazo wala hatuwahitaji.., jikaze mtafika tu siku moja., mko hovyo kwa sasa., mkitoa tu bahari, nyie kwisha.., alafu outside Dar hamuna miji ya maana, Kenya sio Tanzania yenye ka Dar, city moja, sehemu mmekimbilia nyote kutafuta eti maisha.., vijijini ni ufukara tupu.., ndio maana mnakimbilia hadi Mombasa kutafuta maisha...,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()







Arusha haijawahi kutuangusha
Atakuambia city za Europe ziko green juu eneo limetengwa kwa miti but Nairobi iko green juu hatuna doo za kujenga. 🤣 🤣Wait for our dear watchman akuambie vile Nairobi haijajengeka na hizo picha umeweka hapa ni misitu tupu.
Jamaa huwa wanajaribu kuleta story 🤣🤣 nimesafiri miji ya Tz Bro miji mingi ya bongo ni yakijani mnoo.. ni DAR tu ndio iko less green kwenye maeneo haswa ya uswazi+ the giant Kariakoo
Tz ingekuwa nchi bora ya kuishi hamngekuwa mnatoroka nchi yenu na kuja kujazana Kenya.Kati ya Kenya na Tz ipi nchi bora ya kuishi, acha biasness zen ujijibu hilo swali.
Always 👇
Hivi hawa kunguni walishafika Morogoro?Jamaa huwa wanajaribu kuleta story 🤣🤣 nimesafiri miji ya Tz Bro miji mingi ya bongo ni yakijani mnoo.. ni DAR tu ndio iko less green kwenye maeneo haswa ya uswazi+ the giant Kariakoo
Pitien hapa
Sio top but ni among the top. Nairobi huwezi pata Estate kongwe withing the city haina barabara kiasi hiki hata zile za watu wa kawaida. Estate utapata hazina barabara ni zile mpya on the outskirts of the city zenye bado zinajengeka. Hapa ni Kariobangi South - mtaa wa kawaida sana ila road network ipo.Barabara apo inapita moja huwezi kuiona...
Ni suala la budget ila zitajengwa,Atleast kuna order na nyumba zinaeleweka.
Iyo mbezi sio top address kwa dar iko nyuma ya Masaki,Oysterbay na mikocheni...
Kwahiyo hii Nakuru ndio green kuliko Mbeya? 😂😂😂😂😂Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Wewe ni wa kupuuza tu. Ni kama huna ubongo. Sasa hivi hizo picha mbili ulizopost ni za miji?Kwahiyo hii Nakuru ndio green kuliko Mbeya? 😂😂😂😂😂
Nakuru
View attachment 2439700
Mbeya
View attachment 2439703
Kama mabasi ndio bado mnategemea wachina na wakenya, what tells you that Tanzania will start manufacturing their own trains and locomotives sooner?Miaka kama 20 ijayo tutaweza kuunda train wenyewe ama bado tutakua tuaagiza nje?
Hivi sisi tunaendelea kweli ama tuko palepale
Dry and dusty.