Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Nenda polepole,Mbeya nick name yake ni green city for a reason,Even arusha Njiro wamepakana na Msitu mkubwa tu ,Kuhusu Arusha na Mbeya Unapotosha
 
Nenda polepole,Mbeya nick name yake ni green city for a reason,Even arusha Njiro wamepakana na Msitu mkubwa tu ,Kuhusu Arusha na Mbeya Unapotosha
I know Mbeya is green, but have you been to Eldoret? Again, Arusha is green but not greener than Nakuru. I would put them on the same scale.

Eldoret
90634411_825187464642485_2429986277240602624_n.jpg
 
I know Mbeya is green, but have you been to Eldoret? Again, Arusha is green but not greener than Nakuru. I would put them on the same scale.

Eldoret
90634411_825187464642485_2429986277240602624_n.jpg
Angalia mkeka wake alivyoupanga, naona we umekuja na mkeka tofauti.Point yangu ni kwamba Arusha na Mbeya ziko green na hata vyakula vinavyozalishwa katika mikoa iyo miwili ni vingi sana.

Veges zote mnazotafuna hapo NBO zinalimwa Arusha,(zote mnazoagiza Tz to be specific)carrots, green pepper, vitunguu,ndizi nk

Nipe faida za huo ukijani wa Nakuru
 
App mnajivunia nn hasa kwani hamkusanyi fedha nyie?mbona miradi yote msaidiwe na wageni?
Kuna miradi tunafanya wenyewe na kuna miradi ni loan..same na nyinyi na nchi nyingine yeyote. Ama nyinyi miradi yenu yote mnajifanyia wenyewe?
Alafu hio hoja yake ina kasoro kadhaa, mfano; Konza ni mradi mkubwa, south korea inajenga tu chuo ndani ya konza
 
Hilo swali usiulize mkenya wala mtanzania..., tafuta mgeni kabisa, a nuetral person asie mkenya wala mtanzania ndio utapata objective answer.., swali hilo hapa sana sana kwa boya kama wewe ni blind patriotism itasukuma hisia zako but not reason.., kuna youtube kibao tu za hisia za wageni na experience yao kati ya Kenya na Tz..,

Kwangu mimi Tanzania ni kama Mombasa ama pwani ya Kenya kimaisha.., laid back and relaxed living, not fast paced, with village type living, maisha ya kinyumbani sana na ungwana flani hivi..,
Heheheeeee umejibu kwa maumivu, sasa ngoja nikupe siri tafuta mkenya yoyote najua kwa mazingira unayoishi huwezi pata mkenya aliyewahi kuja Tz, wewe nenda Airpot ukabahatishe mkenya aliyewahi kufika Tz zen muulize hilo swali atakujibu.

Tz hakuna njaa, kuna starehe za kutosha kuna kila aina ya raha ndiyo maana hata jiji la Dar linaitwa New York of Africa, Arusha ni Eden ya dunia, Dodoma ni Washington ya Afrika. Tz haiwezi kufananishwa na nchi yoyote ile ya Afrika mashariki hakuna nchi ya kufanana nayo, nchi hii imejaliwa kila kitu mpk watu wake wana ustaarabu wa kuzaliwa.

Sio kama nchi yenu hakuna sehemu za starehe, kanchi kadogo mji mmoja tu ndio mmejazana hapo hapo, kila mkenya ndoto zake kufika ka Nairobi

Hapa Tz kuna Watz hawana mpango na Dar cz nchi imejengeka kote kote, nchi yenu haina chakula cha kutosha, haina maji ni chafu kushoto kulia, ndio uje ulinganishe na Tz? Unaumwa Mavi wewe
 
Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
Tuanze na nairobi Nioneshe eneo kama hili Dar
PicsArt_12-12-07.26.25.jpg
 
Kuna miradi tunafanya wenyewe na kuna miradi ni loan..same na nyinyi na nchi nyingine yeyote. Ama nyinyi miradi yenu yote mnajifanyia wenyewe?
Alafu hio hoja yake ina kasoro kadhaa, mfano; Konza ni mradi mkubwa, south korea inajenga tu chuo ndani ya konza
Miradi gani mikubwa mnayotekeleza kwa fedha za ndani?
 
Angalia mkeka wake alivyoupanga, naona we umekuja na mkeka tofauti.Point yangu ni kwamba Arusha na Mbeya ziko green na hata vyakula vinavyozalishwa katika mikoa iyo miwili ni vingi sana.

Veges zote mnazotafuna hapo NBO zinalimwa Arusha,(zote mnazoagiza Tz to be specific)carrots, green pepper, vitunguu,ndizi nk

Nipe faida za huo ukijani wa Nakuru
Tunaongelea miji wewe unaongelea rural area. Hapo ndio utofauti unakuja. Most of Tanzania rural areas are obviously greener because Tanzania doesn't have lots of arid areas. In Kenya, only a quarter receives addequate rain to keep it green and forested all through the year and 80% of our population is concentrated in that small quarter. The South Western part of Kenya is naturally very green though - as green as anywhere can get. But here we are talking about city planning. You have to realize that no matter how much rainfall you get, you have to have good planning laws to have green cities. That's why West and Central African cities like Lagos, Kinshasa and Accra are not as green East African cities like Nairobi or Arusha yet they receive way more rainfall. Nairobi is also greener than Kampala which recieves way more rainfall simply because Kampala isn't well planned.
 
Back
Top Bottom