Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If I were you ningepunguza expectations zangu.
Subira yavuta heri,sijataka kujiingiza kwenye overexpectations ,Bado naamini kuna Mali itakuja safi...until isiwe hivyo ndio nitasurrender
 
FB_IMG_16705159782604093.jpg
 
Nyoka (as they used to all it) linashushwa 😂
wagon~2.JPG

When we shared the mage below a few months ago here and reminded our neighbors that the apple doesn't fall far from the tree and that they shouldn't keep their hopes high in the ceiling, most of them them here walitoa maneno makali sana na wengine hata wakatutusi!
images (18).jpeg

Angalieni sasa bullet train ndio hio inashushwa bila huruma!
 
IQ yake ni below average, la sivyo hangekurupuka., some of these guys make my day, comedians sana
HDI data inakusaidia nini wakati mnakufa kwa njaa, no formal housing kwa majority while medical services mnapata kwa jirani. Use your brain properly.
 
Bongolala, I come from a border town and I can't count the number of times I have met tanzanians coming for treatment in our local referral hospital from as far as Tarime. Use your brain properly too
 
IQ yake ni below average, la sivyo hangekurupuka., some of these guys make my day, comedians sana😂😂😂😂😂😂
Hawa wanaongea tu mradi Mungu amewapa uwezo wa kupumua
 
RR Kwa Probox is a world Apart,But sioni ikiivana hasa na huo mfano uliotoa
Huo mtaa uliopost naweza ufananisha na Ruai ya Nairobi ambayo wengi wenu humu husema ni slum ama Syokimau, Kitengela na Kiserian- hiyo ni mitaa ya watu wa Kawaida hapa Nairobi. Kwa Karen bado saaana.

Syokimau wenyewe mtaa wa juuzi ulikuwa kichaka 10 years ago na already kuna barabara na umepangwa kushinda hapo.
Goodhome.co_.ke_.jpg
Screenshot 2022-06-23 205451.jpg

Kitengela nao mtaa mwengine wa juzi sana. 10 years ako hili lilikua eneo la Wamaasai kulisha ng'ombe already una barabara poa kuliko your 4th best neighborhood.

Ndio maana nasema utakua kichaa kulinganisha huu mtaa na Karen na sisemi tu kwa ushabiki. The best neighborhood in Dar es Salaam ikija Nairobi kutoboa top 20 itakua Kibarua.
 
Angalia mkeka wake alivyoupanga, naona we umekuja na mkeka tofauti.Point yangu ni kwamba Arusha na Mbeya ziko green na hata vyakula vinavyozalishwa katika mikoa iyo miwili ni vingi sana.

Veges zote mnazotafuna hapo NBO zinalimwa Arusha,(zote mnazoagiza Tz to be specific)carrots, green pepper, vitunguu,ndizi nk

Nipe faida za huo ukijani wa Nakuru
Veges zote tunazokula Nairobi zinalimwa Arusha? 🤣 🤣 🤣
 
Huo mtaa uliopost naweza ufananisha na Ruai ya Nairobi ambayo wengi wenu humu husema ni slum ama Syokimau, Kitengela na Kiserian- hiyo ni mitaa ya watu wa Kawaida hapa Nairobi. Kwa Karen bado saaana.

Syokimau wenyewe mtaa wa juuzi ulikuwa kichaka 10 years ago na already kuna barabara na umepangwa kushinda hapo.
Goodhome.co_.ke_.jpg
View attachment 2439888

Kitengela nao mtaa mwengine wa juzi sana. 10 years ako hili lilikua eneo la Wamaasai kulisha ng'ombe already una barabara poa kuliko your 4th best neighborhood.

Ndio maana nasema utakua kichaa kulinganisha huu mtaa na Karen na sisemi tu kwa ushabiki. The best neighborhood in Dar es Salaam ikija Nairobi kutoboa top 20 itakua Kibarua.

Remind him that this is Syokimau too, not Karen
katani-10.2e16d0ba.fill-1512x2016~2.jpg
images - 2022-07-04T134133.329.jpeg
 
Huo mtaa uliopost naweza ufananisha na Ruai ya Nairobi ambayo wengi wenu humu husema ni slum ama Syokimau, Kitengela na Kiserian- hiyo ni mitaa ya watu wa Kawaida hapa Nairobi. Kwa Karen bado saaana.

Syokimau wenyewe mtaa wa juuzi ulikuwa kichaka 10 years ago na already kuna barabara na umepangwa kushinda hapo.
Goodhome.co_.ke_.jpg
View attachment 2439888

Kitengela nao mtaa mwengine wa juzi sana. 10 years ako hili lilikua eneo la Wamaasai kulisha ng'ombe already una barabara poa kuliko your 4th best neighborhood.

Ndio maana nasema utakua kichaa kulinganisha huu mtaa na Karen na sisemi tu kwa ushabiki. The best neighborhood in Dar es Salaam ikija Nairobi kutoboa top 20 itakua Kibarua.
Bado haimake sense.
Wait nikushow jambo
 
Back
Top Bottom