Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Filter imepigwa kweli kweli. Real situation of that area.

View attachment 2438627
Zaidi ya hapa Dar ni hovyo😂😂😂😂., Westlands n Parklands pekee can sufficiently embarrass Dar is slum, size ya Dar ni Mombasa, though ni kwa mda mfupi, kwa mtazamo wangu, Mombasa will kill Dar 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1670499188829.png


Westlands CBD iko na muonekano poa sana ukilinganisha🔥🔥 Tanzania nchi ya city moja na ka CBD kamoja😂😂😂😂😂.., hakuna battle hapa..., hii ni Westy na Parklands in the background far end..,
1670499661157.png
 
Hatujakataa kuwa usiwagonge ila upgrade kidogo anko madem wa hiyo bei lazma ni wale wachafu choka mbaya...
mbona nagonga mapisi za kidanganyika pekee kwa hiyo bei,? kahaba watanzania wamejaa huku river road na ni mali safi sana. Ni ile siwezi post picha bila consent lakini ninazo apa kwa simu.
 
Quality of life is one of the parameters used in calculating HDI
Kati ya Kenya na danganyika, ni nchi gani iko na higher HDI figures?
Kenya inaizidi North Korea pia kwenye hilo jambo, vp ground? Twende kiuhalisia achana na forged paper, Tz na Kenya ipi nchi bora ya kuishi?
 
Kenya inaizidi North Korea pia kwenye hilo jambo, vp ground? Twende kiuhalisia achana na forged paper, Tz na Kenya ipi nchi bora ya kuishi?
Wanaikimbia paradiso.., nyambaff, hakuna mtu anapenda ufukara, ujinga na ushamba, your definition 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kati ya Kenya na Tz ipi nchi bora ya kuishi, acha biasness zen ujijibu hilo swali.
Hilo swali usiulize mkenya wala mtanzania..., tafuta mgeni kabisa, a nuetral person asie mkenya wala mtanzania ndio utapata objective answer.., swali hilo hapa sana sana kwa boya kama wewe ni blind patriotism itasukuma hisia zako but not reason.., kuna youtube kibao tu za hisia za wageni na experience yao kati ya Kenya na Tz..,

Kwangu mimi Tanzania ni kama Mombasa ama pwani ya Kenya kimaisha.., laid back and relaxed living, not fast paced, with village type living, maisha ya kinyumbani sana na ungwana flani hivi..,
 
Back
Top Bottom