Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo swali usiulize mkenya wala mtanzania..., tafuta mgeni kabisa, a nuetral person asie mkenya wala mtanzania ndio utapata objective answer.., swali hilo hapa sana sana kwa boya kama wewe ni blind patriotism itasukuma hisia zako but not reason.., kuna youtube kibao tu za hisia za wageni na experience yao kati ya Kenya na Tz..,

Kwangu mimi Tanzania ni kama Mombasa ama pwani ya Kenya kimaisha.., laid back and relaxed living, not fast paced, with village type living, maisha ya kinyumbani sana na ungwana flani hivi..,
Sasa mnakuja Tz kufanya nini? Si mkae kwenu kama mnaona mko poa sana
20221208_201334.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nyoka (as they used to all it) linashushwa
View attachment 2439882
When we shared the mage below a few months ago here and reminded our neighbors that the apple doesn't fall far from the tree and that they shouldn't keep their hopes high in the ceiling, most of them them here walitoa maneno makali sana na wengine hata wakatutusi!
View attachment 2439880

Angalieni sasa bullet train ndio hio inashushwa bila huruma!
Inferiority complex inawasumbua sn, masaa yote mnakesha kuangalia Tz imefanya nn zen mna compare na vyenu, mtakufa mapema sn.
 
I've been to Arusha many times, na ukitoa duka la vunja bei 🤣 🤣 , there ain't much to do in town.
Arusha town is not a destination. 90% ya wageni wa nje huko wanapitia tu on their way to Kilimanjaro ama other tourist destinations close by.
Ni kama Narok - kamji ovyo ila kanapata wageni wengi courtesy of Maasai Mara sasa upate mtu akisema Narok ni mji mnoma juu unapata wageni mob.
 
HDI data inakusaidia nini wakati mnakufa kwa njaa, no formal housing kwa majority while medical services mnapata kwa jirani. Use your brain properly.
Magufuli came for treatment in Kenya. Tundu Lissu was treated in Kenya. Actually all wealthy Tanzanians come to seek medical services in Kenya.
 
Huo mtaa uliopost naweza ufananisha na Ruai ya Nairobi ambayo wengi wenu humu husema ni slum ama Syokimau, Kitengela na Kiserian- hiyo ni mitaa ya watu wa Kawaida hapa Nairobi. Kwa Karen bado saaana.

Syokimau wenyewe mtaa wa juuzi ulikuwa kichaka 10 years ago na already kuna barabara na umepangwa kushinda hapo.
Goodhome.co_.ke_.jpg
View attachment 2439888

Kitengela nao mtaa mwengine wa juzi sana. 10 years ako hili lilikua eneo la Wamaasai kulisha ng'ombe already una barabara poa kuliko your 4th best neighborhood.



Ndio maana nasema utakua kichaa kulinganisha huu mtaa na Karen na sisemi tu kwa ushabiki. The best neighborhood in Dar es Salaam ikija Nairobi kutoboa top 20 itakua Kibarua.

Hizi counties zote pamoja na nairobi zinashirikiana kupambana na Dar 1 na bado zinapigwa kaban 😂😂😂😂
 
Ni kama Narok - kamji ovyo ila kanapata wageni wengi courtesy of Maasai Mara sasa upate mtu akisema Narok ni mji mnoma juu unapata wageni mob.
nyie ni wapumbavu kweli yaani ufananishe Narok na Arusha jiji! Hebu nitajie 5 star hotel moja Narok town!
 
Syokumau ipo Matakos County
Nairobi outgrew its physical boundaries long time ago. It's now a metropolis and parts of Machakos county fall under Nairobi metropolis, Syokimau included. Umesikia kijana wa Dar jiji la mashamba ya mihogo?
 
Hizi zina HVAC, wifi na AV system pia hii ina high speed bogie unlike yenu haina hata kimojawapo nilichotaja hapo juu so price haziwezi kulingana.
So wifi ndio imeweka cost ikawa double ya Kenya? 😂😂🤣 I'm sure the router in one coach is approximately $20, the price ni tu same na yangu😂😂
 
Back
Top Bottom