The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Aisee kweli hamna kinachoshindikana kwa wenye akili na pesa, hatimaye Dodoma imeanza kuwa ya kijani.
Aisee kweli hamna kinachoshindikana kwa wenye akili na pesa, hatimaye Dodoma imeanza kuwa ya kijani.
In what aspects?The Kenyan one looks better![]()
![]()
Labda rangi 🤣In what aspects?
Hata mimi hiyo design ya rangi sikuipenda.Labda rangi![]()
Ukiona mtu anajibu hoja kwa matusi ujue amefilisika na jibu lake huwa ni kumnyamazia tu. Achana naye huyo tulishampotezea.Nilidhani kidogo umestaarabika na unaweza kujenga hoja bila matusi, ndio nikaamua kujibu post zako nikitegemea umejifunza busara na hekima za kujadiliana bila kutukana, kumbe tabia ni Kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili. Wewe sio mzima kiakili





Kenya kila mtu hadi mfanyikazi ana Uhuru wa kugoma na kuteta akiwa kazini sio kama CCM Tanzania. Ndio maana mfanyi kazi wa kawaida wa Kenya analipwa hela nyingi kuliko mfanyikazi mtanzaniaEconomic ya wapi kesho marubani wanagoma KQ haziruki mmewaibia hela za mafao (pension fund)
Sasa mkuu mbona na wewe umeanza kujibu kama fulani hapa? Hasira imechukua mkondo wakeWewe unamatatizo sio bure,kwahyo Tz ikiwa na mahusiano na China tu ndio inatosha?China yenyewe inafanya biashara na dunia nzima ndio mana wako hapo walipo..Achana na huu upumbavu wako kabisa, unafikiri kuwachukia West ndio kutasaidia nn? We kweli hamnazo


Yani Kenya kuna drought na bado uchumi wetu unazidi Tanzania nchi ya asali na maziwa 😂😂😂 low IQ mnayo banaBeat what?? njaaa or![]()
Ukweli wa uchumi sio maneno ni ground, kwn uchumi wenu wa kimavi mavi si unaandikwa kwenye karatasi kwamba umezidi ule wa North Korea? Haya ground je? Je uchumi wenu wa kimavi mavi si unaandikwa kwenye karatasi umezidi ule wa Tz? Je ground?Yani Kenya kuna drought na bado uchumi wetu unazidi Tanzania nchi ya asali na maziwalow IQ mnayo bana
Namba 3 nakuelewa hii iliwatesa watu wengi sana.Sijasahau kazi ya mwamba lahasha
Viapaumbele ya SSH kwa navyoliona game lake ni kama ifuatavyo
1.Afya (kwasasa ruzuku za dawa zinafika kwa wakati,vifaa vya kisasa vinakuja mara kadhaa na kaongeza watumishi )
2.Elimu(kuondoa ada f6,kuongeza budget ya mkopo wanafunzi wa vyuo vikuu,fedha za tafiti nk), kijenga madarasa elimu ya sekondari na kuajiri walimu)
3.Mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji(task force kuondolewa watu wamalipa kodi bila kutumia nguvu kubwa, apa hata revenue imeongezeka)
4.Kilimo..(kupandisha budget ya kilimo×4 na kuanzisha block farms nk)
Wapi nimesema Wawekezaji wa Kichina wasilipe kodi? Hivi wajua kwanini sisi Watanzania tunawachukia nyie Wakenya? unajua ilikua ni policy ya nchi kuwachukia nyie na Malawi?At least watu wenye mindset finyu kama yako hawaongozi nchi. Na hakuna elimu yenye propaganda kama unayoisema hapa Tanzania. Kwamba darasani mnafundishwa kupenda China na Russia na kuchukia western nations? China is just as imperial and capitalistic like many western countries. You just haven’t conceived it yet. You’re still naive and ignorant.
Someone on here had the audacity to mention that our relationship with China is so special, we must offer them a chance to invest in Tanzania without any form of taxation. The class of thought people like you impose on this site shows how foolish you are.
I’m not trying to patronize the West – please don’t get me wrong. I separate personal grievances when I discuss political matters because the world isn’t black and white as you claim. It’s more complex than that.
Nyingine hii,"Bwana Brown ashika tama".Wapi nimesema Wawekezaji wa Kichina wasilipe kodi? Hivi wajua kwanini sisi Watanzania tunawachukia nyie Wakenya? unajua ilikua ni policy ya nchi kuwachukia nyie na Malawi?
Sasa unaposema eti hakuna na mafundisho hayo, una maanisha lini these days or huko nyuma? unajua kabla ya kuingia darasani tulikua tunakimbia mchaka-mchaka na unajua kila mtoto alikua member wa chipkizi? wajua nyimbo zilikua zikiimbwa kwenye mchakamchaka na chipkizi kuhusu Jomo, Moi, Kenya, Kamuzu Banda, Malawi, Makaburu, China, Mao?
Wajua tafsiri ya "Sizitaki Mbichi Hizi"? Wajua simulizi za "Kibanga Ampiga Mkoloni"?
Watanzania tunajuana kwa mengi sana sio Kiswahili tu ama kuishi kwa muda Tanzania na kujifanya ni Mtanzania, mnavyofanya Wakenya.
Wapi nimesema Tanzania kuwa na mahusiano na China inatosha?? Na wewe unafikiri kuwapenda Westerners kutakusaidia nini?Wewe unamatatizo sio bure,kwahyo Tz ikiwa na mahusiano na China tu ndio inatosha?China yenyewe inafanya biashara na dunia nzima ndio mana wako hapo walipo..Achana na huu upumbavu wako kabisa, unafikiri kuwachukia West ndio kutasaidia nn? We kweli hamnazo
1. Kwa ground Tanzania iko na 12k km of paved roads while Kenya has 22kmUkweli wa uchumi sio maneno ni ground, kwn uchumi wenu wa kimavi mavi si unaandikwa kwenye karatasi kwamba umezidi ule wa North Korea? Haya ground je? Je uchumi wenu wa kimavi mavi si unaandikwa kwenye karatasi umezidi ule wa Tz? Je ground?
uthat dude just lost his innocence. red pill moment