Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Yea nmekua Arusha nkiwa mdogo na Uganda. But Kenya is betterTembea uone...ushawahi kutoka kenya tangu umezaliwa?
Yea nmekua Arusha nkiwa mdogo na Uganda. But Kenya is betterTembea uone...ushawahi kutoka kenya tangu umezaliwa?
Nimekuonesha Mtwara ina watu wachache kuliko Turkana lakini ina barabara nyingi hata Mombasa hawafikiiInfrastructure is built for people. We're not building a 500km road to be used by 3 families.
Hao matapeli anko sio ombaomba ...Njoo ukawaambie ombaomba wenu huku mitaani.
Hahahaha, hahahaha, hawa mkuu ni midomo mipana na kupenda kujisifu tu, katika nchi ya hovyo hapa Afrika, Kenya ni miongoni mwa top 3Hawa ndio wana IQ kubwa na elimu nzuri ukanda huu ....![]()



Watakucheka wenye akiliKumbe unatambua mkikuyu ndiye kingpin wa East and Central Africa



Hamna place ni better kuliko moshi ata arusha haiwezi,sio mjini sio vijijini niYea nmekua Arusha nkiwa mdogo na Uganda. But Kenya is better
Huyu jamaa ana matatizo kichwani, sio mzima. Mchakato mzima wa tender ulitangazwa na kuwekwa hadharani, waziri mhusika ametoa maelezo yaliyonyooka Sana, hata sisi huku Kijijini tulielewa, iweje mtu Kama yeye hadi Leo hajaelewa?Kumbe lot ya Tabora Kigoma ilishapata mkandarasi?
Nchi ya kipumbavu sn hii, namshukuru Mungu sijazaliwa nchi hii, ningejisikia vby sn kwakweli.
Nyie ni mitumba Republic hamuwezi nunua Mali mpyaThe Kenyan one looks better![]()
![]()
Tangu lini used ikafanana na kitu kipya? Alafu angalia madirisha ya coaches za Tz hakuna kufungua vioo, mwendo AC tu unlike yours vumbi na joto mtindo mmojaThe Kenyan one looks better![]()
![]()








Hebu rudia hiyo last part. Ati slowest electric train in the world 😂😂😂Mje Nairobi mjifunze architectural designs.
Na venye huwa mnachocha hio electric SGR yenu, mgeni anaweza kadhani speed yake ni 400km/h kama zinazojengwa nchi zingine.
Kumbe tofauti yake na SGR ya Kenya ni 20km/h 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ikimalizwa, Tanzania itashikilie rekodi ya 'THE SLOWEST ELECTRIC TRAIN IN THE WORLD'
View attachment 2406739
Toa mikebe hapa.Tar 10 /11/2022 Sio mbali kutoka LeoView attachment 2406746View attachment 2406748View attachment 2406749View attachment 2406750
Your SGR maximum speed is 160km/h. Wewe inaonekana vile ulizaliwa badala madaktari watupe placenta walitupa ubongo.160km/hr - 120km/hr = 20km/hr eti?
And do not forget 120km/hr is the max speed that ur upgraded mgr has, but ours has a max speed of 200km/hr, so the difference is 80km/hr.
Barabara nyingi za matope.Nimekuonesha Mtwara ina watu wachache kuliko Turkana lakini ina barabara nyingi hata Mombasa hawafikii