Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1.Faida ya USA tayari nimeeleza hapo juu sirudii..

2.Ufaransa watajenga Terminal 111,

3.Dubai inaikopesa serikali bil.979,

4.West Africa-Serikali ilipata ruhusa ya kuanza kupeleka bombadia zetu huko deadline ni mwakani..japo ziara ya West Africa haikuwa ya kiserikali rasmi..

5.Oman watakarabati Uwanja wa KIA,watatoa pesa kwenye umeme n.k
Sasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?
1)Mkopo wa Tanzanite bridge ulipatikana bila rais kusafiri
2)Mkopo wa Flyover ya TAZARA rais hakusafiri
3)Mkopo wa Ubungo Flyover rais hakusafiri
4)Mkopo wa BRT awamu ya 2&3 rais hakusafiri
5)Mkopo wa uwanja wa ndege Msalato rais hakusafiri
6)Kutokana na servings za rais kutosafiri hovyo tumeweza kununua ndege na kufufua ATCL

Tuambia ni jambo gani (tangible) limetokana na safari za mama Kama sio nadharia na theories?
 
Kuanzia namba 1-5 Rais Kikwete ndie alifanikisha mchakato wa mikopo yote hiyo tena kwa kusafiri..

Namba 5,zilikuwa ni stori hadi Rais Samia alivyokutana na Mkuu wa AfDB na ndio maana alizindua ujenzi wa Dom Ring Road na Juzi Msalato,Chini ya Mwendazake ilikuwa ni hadithi tuu bila utekelezaji..

6.Porojo zingine zisizo na msingi ni hizo kwenye namba 6.

Wewe mjamaa usiyeelewa biashara huwezi jua haya mambo si unajua mli paralyse uchumi Kwa sababu hamna akili.

Angalia exports ya Tanzania kuanzia 2021 hadi sasa afu uje kuongea ujinga wako hapa..

Faida nyingine ya Ziara hii hapa , VP anaweka mambo sawa Ili kupata pesa za sgr ya Kigoma👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-180550.png
    Screenshot_20221103-180550.png
    138.8 KB · Views: 12
Kuanzia namba 1-5 Rais Kikwete ndie alifanikisha mchakato wa mikopo yote hiyo tena kwa kusafiri..

Namba 5,zilikuwa ni stori hadi Rais Samia alivyokutana na Mkuu wa AfDB na ndio maana alizindua ujenzi wa Dom Ring Road na Juzi Msalato,Chini ya Mwendazake ilikuwa ni hadithi tuu bila utekelezaji..

6.Porojo zingine zisizo na msingi ni hizo kwenye namba 6.

Wewe mjamaa usiyeelewa biashara huwezi jua haya mambo si unajua mli paralyse uchumi Kwa sababu hamna akili.

Angalia exports ya Tanzania kuanzia 2021 hadi sasa afu uje kuongea ujinga wako hapa..

Faida nyingine ya Ziara hii hapa , VP anaweka mambo sawa Ili kupata pesa za sgr ya Kigoma
Nilidhani kidogo umestaarabika na unaweza kujenga hoja bila matusi, ndio nikaamua kujibu post zako nikitegemea umejifunza busara na hekima za kujadiliana bila kutukana, kumbe tabia ni Kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili. Wewe sio mzima kiakili
 
haya yote kuhusu kenya uliyajulia wapi?

ata mm mwenyewe sijui ni ndege gani uhuru, alitumia kuvuka jomieca.

so kila mara tunapo sema wabongo mnafuatilizia sana kuhusu mambo ya ndani kinachoendelea humu nchini ata kuliko wakenya wenyewe, sio utani wala uchokozi, bali huo ndo ukweli wa mambo, na utazidi kugidhiri!. naujue hili tabia halikuanza jana

hivi ile list ya google trends iliyototewa na google kuhusu kile nchi flani ilikua ina search kuhusu nchi nyingine flani zaidi, haikua porojo..

yani wabongo nyinyi mnapenda sana kenya nyinyi watu.. semeni tu ukweli.

mbona kenya akilini mwemu 24/7.! aa?
Ndio sababu tunawaambia ninyi wakenya hamna uwezo wa kubishana na sisi. Hili jambo la Uhuru kukodi ndege ya gharama kwenda Jamaica na Barbados tulilizungumza hapa hapa JF baada ya baadhi ya wakenya kulalamika jambo lile, wewe ulikua bado hujajiunga na JF
 
Bure au tutalipa?, Sasa tuonyeshe pesa iliyotumika katika kugharimia hiyo safari, jiulize hiyo pesa isingetosha kugharimia ukarabati wa huo uwanja?
Kama haufuatilii mambo ya serikali kwasababu no1 humpendi basi jitahidi usifuatilie kabisa,unauliza maswali juu ya maswali
 
Sasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?
1)Mkopo wa Tanzanite bridge ulipatikana bila rais kusafiri
2)Mkopo wa Flyover ya TAZARA rais hakusafiri
3)Mkopo wa Ubungo Flyover rais hakusafiri
4)Mkopo wa BRT awamu ya 2&3 rais hakusafiri
5)Mkopo wa uwanja wa ndege Msalato rais hakusafiri
6)Kutokana na servings za rais kutosafiri hovyo tumeweza kununua ndege na kufufua ATCL

Tuambia ni jambo gani (tangible) limetokana na safari za mama Kama sio nadharia na theories?
Raisi ni taasisi sio lazima yeye asafiri unafikiri enzi za Jpm wakina SSH na Majaliwa walikua hawatoki?we jamaa uko short sighted sana
 
Kwanza ninakuhakikishia kwamba ninafuatilia Sana Mambo ya serikali kukuzidi wewe, pili ninaufahamu mkubwa wa nchi na Dunia kwa ujumla kukuzidi wewe.

Turudi katika mjadala, gharama ya rais kusafiri, ni zaidi ya mara mbili ya gharama endapo atasafiri VP, na ni mara 4 zaidi ya gharama za waziri mkuu anaposafiri

Anaposafiri rais wa nchi, hiyo ni presidential trip, wengine wote sio presidential trip
 
Nilidhani kidogo umestaarabika na unaweza kujenga hoja bila matusi, ndio nikaamua kujibu post zako nikitegemea umejifunza busara na hekima za kujadiliana bila kutukana, kumbe tabia ni Kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili. Wewe sio mzima kiakili
Rubbish 🚮🚮.

Nilikuita? Sijawahi tolewa kwenye reli na wapumbavu mimi by whatever way..

Ujibu au usijibu hunilishi na Wala sitobadili utaratibu wangu,pita kushoto.
 
Nimewahi kumsikia Sa100 akisema/akiwataka watendaji kutafuta eneo na kutengeneza monument kubwa ya hii icon ya mashujaa 👇View attachment 2405973kwa enaejua huu mpango umefkia wapi.?
Mimi hili Jambo la monument au utambulisho wa nchi kimataifa unaniuma Sana, yaani wataalamu wetu wanashindwa kuja na moja ya hivyo vitu mpaka sasa! Kwa mfano Kenya Wana k.l.c.c, Sisi bado,mpaka Rais aseme ndio wanakurupuka,alafu mpaka sasa hivi hawajafanya kitu.
 
Rubbish .

Nilikuita? Sijawahi tolewa kwenye reli na wapumbavu mimi by whatever way..

Ujibu au usijibu hunilishi na Wala sitobadili utaratibu wangu,pita kushoto.
Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.
 
Blaa blaa nyingi za kujifariji baada ya kukupa za uso, maneno meengi kama unapaka wanja 👇
 
Attachments

  • JamiiForums-443627714_375x463.jpg
    JamiiForums-443627714_375x463.jpg
    24.7 KB · Views: 9
Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.
Nmecheka sn
 
Back
Top Bottom