Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mkuu mbona na wewe umeanza kujibu kama fulani hapa? Hasira imechukua mkondo wake
Nmemind kwasababu tunahitaji mahusiano na nchi nyingi zaidi ili tuweze kuuza bidhaa zetu zaidi watu wapate hela...imagine mkulima wa maharage anaelima ekari 20 kwakua soko liko China leo akaambiwa kuna soko la maharage Korea,kuna soko Japan Lima heka 100 ukiweza na mkopo anapata...huoni ndio anachomoka kimaisha tayari apo..
 
Wapi nimesema Tanzania kuwa na mahusiano na China inatosha?? Na wewe unafikiri kuwapenda Westerners kutakusaidia nini?

KWANI NA WEWE NI MPUMBAVU HIVI?

Kutompenda mtu haimaanishi usishirikiane nae, ama, kushirikiana nae haimaanishi unampenda. Why this is so difficult to fathom?

Tunashirikiana na Kenya na kufanya Biashara na Kenya, right? Ila ndio Taifa tunalichukia kuliko Mataifa yote Africa. wewe una upumbavu wa kurithi? Soma elewa, usiwe mpumbavu.
Hoja yako ni ipi naona unaporomosha matusi tu
 
1. Kwa ground Tanzania iko na 12k km of paved roads while Kenya has 22km

2. Kwa ground Tanzania has 10k health centers while Kenya has 13k

3. Kwa ground Tanzania have 24k schools while Kenya has 48k.

4. Kwa ground Kenya is controlling Tanzanian economy.
1.Kwa ground Tz haijapave 12Kms bali ni 14Kms
2.Hamtakaa mucontrol uchumi wetu
 
New Kariakoo market ukarabati mkubwa unaendelea, nyuma yake kuna soko kubwa jipya kama hilo linajengwa hapo hapo, yani limeunganishwa, sasa nyie Wakunya likiisha msije kusema hatukuwaambia.
Screenshot_20221105-102341.jpg
 
Alafu atakuja nwehu mmoja ataongelea GDP as if wanakula GDP, unawezaje kulinganisha nchi inayojitosheleza kwa kila kitu na nchi ambayo haijiwezi kwa kila kitu?
 
Wakunya mna shida sana ,
So you tried so hard to copy the Supertree Grove of Singapore City,
Sasa yenyu iko Juakali sana, yours is made of iron sheets rejects from Ruiru Mabati rolling mills, looks ugly, rusty and unattractive.
Wacheni kukopi vitu vya watu kisha mnaharibu.
View attachment 2405893
View attachment 2405894
View attachment 2405895
View attachment 2405896
Hii kitu ni kali, who said Kenya was copying ama ni wivu inakusukuma?, iko tafauti sana and unique in its way, najua ulikosa jibu kutoka Dar ilibidi ujaribu kuponda lakini wapi! 😂 😂 😂 😂 hii ni Nairobi zoea, wivu itakuuwa masikini..,
1667639583967.png

1667639456501.png

1667639531299.png
 
Back
Top Bottom